Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Mwaka huu tutasikia mengi...Nyerere akulea watoto wake hivyo!
 
Akili na uwezo Wa Nyerere kifikra hata mkiungana waswahili wote hamuwezi kuufikia hata robo

"Akili nyingi haizidi maarifa". Usisahau.

Angekuwa na akili angeiwacha nchi hohe hahe masikini wa mwisho duniani? Fikiri.

Akatokea Mswahili mmoja tu wa Unguja, mwenye akili kidogo lakini maarifa mengi akasema "ruksa" nchi ikaanza kurudi inapostahiki.
 
Nachojua makongoro anauwezo ila nini kipo ndani yake sijajua bado ila ni ingizo jipya kabisa kwenye harakati za urais pengine sasa wameanza kusemwa wale hasa wahusika siyo wale vibaka wa mwanzo.
 
team lowasa mna shida!

Hili ndio tatizo la sisi Watanzania ,kila kitu ni kukalili,kwa kuwa watu wengi mnajua Lowasa ana watu wake kila mahala basi yoyote anayepinga mtu mwinginekuwa raisi ni pro/teamLowasa,hayoni mawazo finyu sio lazimawote tukubaliane hata waliozaliwa tumbo moja hupingana,na tatizo la hapa JF watu huwa mnakurupuka kuleta porojonzenu ili kupima upepo sasa mnapoona unga umezidi maji mnaanza kudai kila anayewapinga anahusiana na makundi ya uraisi,huenda wewe ni mgeni wa siasa na kuwajua wanasiasa,tuulize sisi watoto wa mujini kaka,nani asiyejua Makongoro Nyerere ni cha pombe?kweli chapombe awe raisi basi uraisi siku hizi ni kamanyumba kumi.Na mwishoungekuwa mjanja na kama kweli wewe mfuatiliaji wa mambo ya siasa humu JF ungejua mimi sifagilii viongozi sampuli ya Lowasa,jaribu kusoma comments zangu kabla ya kuniingiza huko unakodhani mimi ni mpambe,mimisio sampuli ya wapambe au ya wale wa buku 7
 
CCM hata Kama wakisimamisha malaika Kura yangu hawaipati kwani hakuna malaika anayeweza kukubali kugombea kupitia tiketi ya CCM vinginevyo Kama atakuwa ana taka kugeuka shetani.
 
Siku ya kufa nyani miti yote inateleza.CCM wanajitahidi kutafutiza hadi mabua wanadhani yatawaokoa.
 
Duh! huyo nani atampa Urais? labda wa Mirembe. Na ikitokea bahati mbaya na kama nipo hai, ujuwe ntaihama nchi kabla hajaapishwa, tena kabisaaaaa. Wala hujakosea.
Mimi binafsi nitakuchangia nauli,one_way ticket to whatever country you wanna go and never come back again!
 
"Akili nyingi haizidi maarifa". Usisahau.

Angekuwa na akili angeiwacha nchi hohe hahe masikini wa mwisho duniani? Fikiri.

Akatokea Mswahili mmoja tu wa Unguja, mwenye akili kidogo lakini maarifa mengi akasema "ruksa" nchi ikaanza kurudi inapostahiki.

Hebu tafakari nchi hii angeongoza mkwere wako baada ya Mwinyi ingekuwaje?

Si ingepotea kabisa kwenye USO Wa dunia?

Hebu fikiri tunakusanya zaidi ya billion 800 kwa mwezi na bado serikali ina ukata Wa kutisha hadi Huduma za jamii zinadorora PESA zinakwenda wapi?
 
Hili ndio tatizo la sisi Watanzania ,kila kitu ni kukalili,kwa kuwa watu wengi mnajua Lowasa ana watu wake kila mahala basi yoyote anayepinga mtu mwinginekuwa raisi ni pro/teamLowasa,hayoni mawazo finyu sio lazimawote tukubaliane hata waliozaliwa tumbo moja hupingana,na tatizo la hapa JF watu huwa mnakurupuka kuleta porojonzenu ili kupima upepo sasa mnapoona unga umezidi maji mnaanza kudai kila anayewapinga anahusiana na makundi ya uraisi,huenda wewe ni mgeni wa siasa na kuwajua wanasiasa,tuulize sisi watoto wa mujini kaka,nani asiyejua Makongoro Nyerere ni cha pombe?kweli chapombe awe raisi basi uraisi siku hizi ni kamanyumba kumi.Na mwishoungekuwa mjanja na kama kweli wewe mfuatiliaji wa mambo ya siasa humu JF ungejua mimi sifagilii viongozi sampuli ya Lowasa,jaribu kusoma comments zangu kabla ya kuniingiza huko unakodhani mimi ni mpambe,mimisio sampuli ya wapambe au ya wale wa buku 7

kwani mbowe,slaa,membe,jk,lowasa awapigi maji ya mende?...
 
Hivi Mkapa ,Dr Shein na Warioba wamewahi kuonja pombe?Nafikiri hatujajua tunahitaji Rais yupi? Kwa muda huu tunahitaji mzalendo na Makongoro anaweza kuwa jibu kumbe.

Tanganyika atakuja tuu
 
Labda rekodi zake ziwe zimeibwa na kuchakachuliwa. Huyo nnamjuwa fika tena ndiyo hunambiii lolote.

Nani mwenye wazimu ampe huyo Urais?

Ukiniuliza baadae ntakupa kisa chake cha "enzi zetu", lakini si saa hizi, wacha mjadala ukishatulia tunaweza kuweka mambo ya enzi zetu za mjini kidogo, kwa sasa itakuwa tunafanya fujo,mradi usisahau kunikumbusha tu.

Tatizo lako kubwa ni udini,nakumbuka ulivyokuwa unashupalia mgogoro wa Ndanda High! utadhani ulikuwepo? Utakunywa sumu au hama nchi! nyamamf.....wewe!
 
Mimi binafsi nitakuchangia nauli,one_way ticket to whatever country you wanna go and never come back again!

Nilikwambia nna shida ya mchango wako? au mwengine yeyote? unanchekesha!

AlhamduliLlah, sisi kwetu ubepari hatukuuanza wakati wa Nyerere, alipokuja Dar alitukuta tu mabepari zamani.
 
Back
Top Bottom