Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Yaani achaguliwe kwa kuwa ni mtoto wa baba taifa? No way!
 
nimewahi kumuona katika majukwaa ya siasa anaweza siasa za majukwaani , siasa za uenezi hasa zile za kisisiem za propaganda .Alimnyanyua sana mrema wakati akimpigia kampeni. Ikabidi nyere jk atumie nguvu nyingi kumkabili wakati mwingine alimponda hata nyerere jk kiaina katika namna ya vichekesho ,he is good.Kumsikia ni katika magazeti kwamba aliwakabili kina Lowasa na Chenge na Rostam kwenye kikao cha kuvuana magamba bila woga wala noma akawataja kwa majina kwamba bwana flani unaonaje uachie ngazi,pia amewahi kumkabbili mwenyekiti katika namna ya kujenga chama ,issue ni kwamba ni jasiri kuliko ccm yeyote na anaishi maisha rahisi kuliko mwiguli,makamba na wengine wanaojifanya wanyonge. Sitampa kura kwa kuwa tu ni ccm labda na uwezo kiutendaji.mI nitachagua ukawa ila akipata sitosononeka sana ni jasiri huyu bwana na hana makuu
 
Mnataka kutuwekea Nyerere mwengine Ikulu.

Wa awali si haba, tulitosheka mpaka kucheua.
 
Source ya habari ni mwanaapolo, yale yale, utabiri wa Shekh Yahya Hussein na Urozi wa Mwanae wa juzi kati
 
cha pombe naye anataka kupewa nchi....???

CCM mnahaha sana
 
Mnataka kutuwekea Nyerere mwengine Ikulu.

Wa awali si haba, tulitosheka mpaka kucheua.

9k=

2Q==

9k=

images

images

images

images

images

images

images

images

images

Habari ndiyo hiyo,faiza utatoka sana mapovu,ni chungu lakini huna budi kumeza!

nimewahi kumuona katika majukwaa ya siasa anaweza siasa za majukwaani , siasa za uenezi hasa zile za kisisiem za propaganda .Alimnyanyua sana mrema wakati akimpigia kampeni. Ikabidi nyere jk atumie nguvu nyingi kumkabili wakati mwingine alimponda hata nyerere jk kiaina katika namna ya vichekesho ,he is good.Kumsikia ni katika magazeti kwamba aliwakabili kina Lowasa na Chenge na Rostam kwenye kikao cha kuvuana magamba bila woga wala noma akawataja kwa majina kwamba bwana flani unaonaje uachie ngazi,pia amewahi kumkabbili mwenyekiti katika namna ya kujenga chama ,issue ni kwamba ni jasiri kuliko ccm yeyote na anaishi maisha rahisi kuliko mwiguli,makamba na wengine wanaojifanya wanyonge. Sitampa kura kwa kuwa tu ni ccm labda na uwezo kiutendaji.mI nitachagua ukawa ila akipata sitosononeka sana ni jasiri huyu bwana na hana makuu
Mkuu hii nimeipenda.........
 
Dr Shein wamemchinjia baharini kweli ccm hawana mgombea wa uraisi mpaka sasa UKAWA njia nyeupe kuingia ikulu sasa.
 
Sasa huyu Nyerere fake wa helikopta aliyeibuka kutoka Singida,itakuweje? Kina mwigulu chemba, badala ya kujenga majina yenu mnajikweza kuchukua majina ya wengine wakati wenye majina wangali hai. Shame on you!

Ameshapigwa stop na kinana ziara zake binafsi akafanyie huko nyumbani kwako
 
yeah ni mwana UKAWA wa zamzni aliwahi kuwa NCCR Mageuzi nafikiri na ubunge kupitia NCCR Arusha huko kuna mambo yalikuwa yanamfrustrate nadhani wakasema anapata mvinyo mwingi. Hata mimi nikifrutrate na koleza mvinyo wa kila aina nikitulia nakamua kiduchu watanzania muwe rational . Hatuchagui paroko ni rais. Juzi niliweka thread kuwa JK aliwahi vutaa fegi watu wakahamaki bila sababu ya msingi. Hivi vinywaji hivyo na maviwanda yoote Tanzania ni kwa ajili ya nani? Ni mimi wewe na Makongoro, hata Shy Rose na wengineo
 
9k=

2Q==

9k=

images

images

images

images

images

images

images

images

images

Habari ndiyo hiyo,faiza utatoka sana mapovu,ni chungu lakini huna budi kumeza!

Labda rekodi zake ziwe zimeibwa na kuchakachuliwa. Huyo nnamjuwa fika tena ndiyo hunambiii lolote.

Nani mwenye wazimu ampe huyo Urais?

Ukiniuliza baadae ntakupa kisa chake cha "enzi zetu", lakini si saa hizi, wacha mjadala ukishatulia tunaweza kuweka mambo ya enzi zetu za mjini kidogo, kwa sasa itakuwa tunafanya fujo,mradi usisahau kunikumbusha tu.
 
Jiandae kutawaliwa na Nyerere mwingine,hutaki hama nchi.

Duh! huyo nani atampa Urais? labda wa Mirembe. Na ikitokea bahati mbaya na kama nipo hai, ujuwe ntaihama nchi kabla hajaapishwa, tena kabisaaaaa. Wala hujakosea.
 
Back
Top Bottom