Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Acheni makongoro ni mlevi wa kupindukia muulize wa Arusha watawambia jinsi jamaa alivyo ndiyo waliokuwa wanamuokota bar... vile vile siyo mtu ambaye amejitokeza kwenye jamii na kuzungumzia mambo yanayo gusa nchi amekuwa kimya sana sema ni mkakati uliopangwa na Uhuru na kagame na mseveni kuhakikisha hizi nchi za Africa mashariki zinatawaliwa na watoto wa waasisi wa upatikanaji wa Uhuru hata Uganda nasikia mseveni ana mpango wa kumuachia mwanaye.

Bibafsi si shabiki ulevi ila haitoshi kumwondolea mtu sifa ya uongozi Uhuru kenyata ni mlevi hata ukimwona tu lakin ni kiongoz wa mfano, mkapa alikuwa mlevi vile vile lakin...
huyu aliyepo si mlevi wa vileo sanaa lakin ...
 
teh teh eti CCM huchagua viongozi wazalendo,wenye maadili na historia za kupendeza wala sio viongozi kutokana na koo zao au umaarufu tu.

uzalendo gani wa kufanya ikulu kichaka cha wezi?
 
Bana hapo amesema cha maana sana.

Huyo Makongoro hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi wacha Urais.
Mmh..... Mama Faiza, kwa kuwa tu ulikuwa na 'bifu' na babayake,uneamua kuuendeleza 'uhasama' huo mpaka kwa wanawe?!
 
Hii mi Ccm kuwen makini,wanawatja watu tofauti tofauti lengo lao ni kutaka kuwatoa kwenye fikra moja na kuwahamisha ili mjadili mambo wanayo yazusha.Tuwe makini haya ma ccm yote majizi
 
Jamani rais wenu ni Dr slaa mbona mnaangaika na walevi wakati mtu msafi mwenye maadili yote ya uongozi
 
Anakasoro gani za kiutendaji hadi una unamdis?
1: Ameenda shule vizuri
2: Ana exposure ya kimataifa ya kutosha
3: Umri kikatiba yes
4: Ni mtanzania wa kuzaliwa(RAIA wa Tz)
:5: Kwao kuna elements za uongozi(babu yake baba yake kaka zake dada zake hadi wadogo zake( Vincent Nyerere wa Chadema)
6: Ana maamuzi magumu( kumtamkia Lowasa ni fisadi bila kificho)
Nin kingine unataka?

Hapana si Mtanzania wa kuzaliwa, alizaliwa Tanganyika, u Tanzania alipewa tu.
 
Mmh..... Mama Faiza, kwa kuwa tu ulikuwa na 'bifu' na babayake,uneamua kuuendeleza 'uhasama' huo mpaka kwa wanawe?!

Kasome post #233 , huyo kaka'ke baba mmoja mama mmoja ana hayo ya kusema, seuse sisi.

Makongoro hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
 
Jamani rais wenu ni Dr slaa mbona mnaangaika na walevi wakati mtu msafi mwenye maadili yote ya uongozi

Unajuwa maana ya mtu safi na mwenye maadili ya uongozi?

Mtu mwenye maadili anashindwa kulea hata wanawe mpaka wanampeleka mahakamani kwa kuwatelekeza?

Unanshangaza.
 
Je Makongoro wa leo ni tofauti na yule wa juzi na jana?
 
Tatizo sio kwamba ccm hakuna watu wazuri hapana.Adui mkubwa wa watanzania ni ccm system.Sasa hata wamweke malaika pale hakuna kitu.kama walishindwa kujivua gamba watawezaje sasa.huyu makogoro sasa kuna wazee wamemfuata na kumwambia tunakuweka kuwa rais sasa huyu makongoro unafikiri atakwenda kinyume na wao??????????.watanzania tufunguke sasa hivi.kasi mpya na nguvu mpya iliishia wapi????????????
 
Kasome post #233 , huyo kaka'ke baba mmoja mama mmoja ana hayo ya kusema, seuse sisi.

Makongoro hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Wewe tatizo lako linafahamika, unamatatizo na chuki ambazo ni zao la jinsi ulivyolelewa... Kama Makongoro tatizo lake ni pombe, basi asingekuwa anakunywa pombe angekuwa mtakatifu. Kwa uwezo wa kuongoza ni kiongozi ambaye akipewa nafasi atatisha..... Humfaham mtu unamwongelea kwa tetesi tu.
 
Hivi ndg wakati unakelwa kwani ulijua ndg Mkapa atakuongoza na kukufikisha hapa leo?
AU kuna shm imeandikwa//shule gani inatoa vyeti vya urais..?
Katiba ipo wazi hata wewe nyota ikiwaka ukakubarika tutakupa nchi.
Usiwe kama Dr. Bana.
akiingia ktk system atakuwa mtu mzur mkuu
 
Back
Top Bottom