Kauli ya J.M.K
WaTZ wajiandae kuona mtu ambaye hayupo katika hizi purukushani za sasa na...
... akisema hajajiandaa tutamwambia utajiandaa mbele ya safari ...
... akisema sijui kuongoza, tutamwambia hakuna aliyezaliwa akijua kuongoza...
na huyu chapombe nae anataka kua rais???ie makongoro???kweli Tanzania kua rais au kuongoza ni rahisi sana mpaka huyu nae anafikiriwa kuongoza 45m people of Tz??? LMAO!!!
'' Kwangu mimi Makongoro hana sifa za kuwa rais ,kwani kuna vigezo gani vinavyoangaliwa? Angeomba ushauri kwanza hata kwa kina Butiku,''
Alisema kwa anavyofahamu,CCM huchagua viongozi wazalendo,wenye maadili na historia za kupendeza wala sio viongozi kutokana na koo zao au umaarufu tu.
Chanzo: Mwananchi, machi 6 2015
Wakuu, Hivi Makongoro Nyerere naye sio msafi?
kikwete kila mkoa ana malaya hahaha
Hivi ni CCM gani ananayomaanisha? Kasahau kuwa mheshimiwa Aman Abeid Karume (Rais wa Zanzibar aliyemaliza mwaka 2010) ni mtoto wa mzee Abeid Aman Karume, Rais wa kwanza wa Zanzibar baada ya Mapinduzi mwaka 1964?'' Kwangu mimi Makongoro hana sifa za kuwa rais ,kwani kuna vigezo gani vinavyoangaliwa? Angeomba ushauri kwanza hata kwa kina Butiku,''
Alisema kwa anavyofahamu,CCM huchagua viongozi wazalendo,wenye maadili na historia za kupendeza wala sio viongozi kutokana na koo zao au umaarufu tu.
Chanzo: Mwananchi, machi 6 2015
Wakuu, Hivi Makongoro Nyerere naye sio msafi?
'' Kwangu mimi Makongoro hana sifa za kuwa rais ,kwani kuna vigezo gani vinavyoangaliwa? Angeomba ushauri kwanza hata kwa kina Butiku,''
Alisema kwa anavyofahamu,CCM huchagua viongozi wazalendo,wenye maadili na historia za kupendeza wala sio viongozi kutokana na koo zao au umaarufu tu.
Chanzo: Mwananchi, machi 6 2015
Wakuu, Hivi Makongoro Nyerere naye sio msafi?
Bana hapo amesema cha maana sana.
Huo Makongoro hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi wacha Urais.
Bana hapo amesema cha maana sana.
Huo Makongoro hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi wacha Urais.
Nilijua tu kuwa utakurupuka kuunga mkono hoja hii kwa zile element zako! Basi anafaa Prof Safari kama ulivyowahi kupendekeza huko nyuma
Indeed . Makongoro anakunywa sana pombe. Siku yoyote ukiiona gari yake imepaki pahali,utaona nyuma kuna kreti chache za bia,ambazo zinakuwa replenished zikianza kupungua. Kwenye seat ya mbele utamuona msichana mpya kila siku.
Kwakuwa Baba yake alianzisha mfumo kristo ha ha ha ha ha ha Bibie wa Lumumba una visasi hadi kwa watoto na wajukuu.