Makongoro Nyerere agaragazwa mwenyekiti CCM Mara

Magongoro hana sifa ya uongozi anabebwa na jina la baba yake Mwl Nyerere, mtu makini ni Madaraka.

Madaraka yupo makini kwa sababu ame concentrate kwenye kilimo kwanza ............................. Wabongo bana
 
Hivi mtu mmoja atagombea viti vingapi kwa mpigo?

Ubunge wa Africa Mashariki sio full time job Makongoro?

Hii inaonyesha wazi kwamba hawa watu huwa hawana kazi kwenye hizi nafasi za uongozi wa kibongo.
 
Makongoro nyerere amegaragazwa uenyekiti ccm mkoa mara.mkoa wa mara kwa mara ingine tena wamedhiirisha wako imara baada ya kumchagua mr sanya kuwa mwenyekiti wa
ccm mkoa na kuwaangusha wakongwe wa si
asa za mkoa wa mara makongoro Nyerere na bw Enock chambiri.

Makongoro anauwawa na vingi, huku Lowassa kama alitia mkono, issue ya jimbo la Musoma Mjini kuchukuliwa na Vicenti Kiboko Nyerere inasemekana Makongoro alichangia.Kauli ya wasiotaka uongozi wake waame chama akiwa pale Mkoani nayo ni Agenda pia.

Pamoja na yote alishindwa kujipanga vizuri na si kiongozi bora sana kihivyo kwani pombe sana zinamuharibu.Kwake kazi zake hazina ratiba zaidi ya kwenda na events tu.Si mtu wa kujituma sana na jina la Baba limekuwa likimbeba katika chaguzi.

Nashukuru kuona sura mpya maake Magamba bhana kila nafasi ya Uenyekiti inapotangazwa majina ni yale yale tu ya akina Mgeja,madabida,shekifu,kimbisa yaani mpaka inakera.Hao akina Chambiri kupigwa chini kwangu mimi poa tu. Sanya kama hakubebwa (sina uthibitisho) anaweza kuwa kiongozi mzuri.
 
magambaaaa hayo familia ya nyerere haina maana kwao maana hawana uwezo wa kufuga fedha
 
Also the timing was not ideal....just b4 the 13th anniversary to of the passing of his dad, our late father of the nation.

So nampa pole mara dufu Makongoro.
 
Hajakutafuna kweli maana wewe nae dada angu kwa kupenda majina makubwa

Mkuu katika watu wanangoza kwa kutukanwa matusi humu JF ni Ritz, wala usichoke kutukana mie wala sijali chochote.
 
Last edited by a moderator:
Labda hana hela za kuhonga kama mlungula kama Sumaye alivyolalamika ...Huu ndio mwanzo Magamba bila fedha hachaguliwi mtu 2015 imekaribia kila mmoja huko magamba anabeba kinachowezekana kubebwa
 
Na akiwa rais akina Makongoro Nape wote Lock up

Du! Vicent Nyerere akikusikia itakuwaje mazee!Maake wewe ni mtu wake wa karibu sana japo unadai kutokea Tanga. vipi Musoma upo wapi?Nyamatare, mwisenge, nyasho,kigera,mtakuja ama kitaji?


Lowassa akiwa rais na Slaa (rais wetu wa moyoni) ndio tuseme hana kitu 2015?
 
Huyu naye tamaa imezidi! amechaguliwa ubunge EAC tena analipwa vizuri mno lakini hatosheki!
 
CCM imeshajimaliza yenyewe hapa Mara! Naona Mathayo kapanga sfu kuanzia kata hadi Mkoa!

Kipigo kitachofata 2015 kitakuwa kizito zaidi ya kile cha 2010!
 
Back
Top Bottom