Makongoro Nyerere agaragazwa mwenyekiti CCM Mara

Makongoro hana sifa ya uongozi anabebwa na jina la baba yake Mwl Nyerere, mtu makini ni Madaraka.
Kama wewe unavyobebwa na baba yako... si hata mabibo tulikufukuza wakati unampigia debe yule dogo wa BCOM kuwa President wa Daruso. Jipime wewe na Makongoro kwanza kwa uadilifu siyo kumtupia maneno ya kashfa eti anabebwa na Jina la baba yake. Mbona wewe umebebwa pamoja na Mama yako wa Kambo kwenye NEC kwa jina la Baba yenu..
Tunaiamini familia hii zaidi ya ile ya kwenu maana ni wasafi na wazalendo.
 
Mimi nilijua hawezi kuendelea pale alipowatamkia jamaa kwamba Site hawatakiwi, waondoke. Angekuwa mwiba kwenye malengo yao.
 
Hii inadhihirisha walivyo dhaifu na ni pigo kwa demokrasia ndani ya chama hicho. Hata hivyo ni jambo jema kwa wapinzani. Wafuatiliaji wa siasa za CCM walijua mapema kuwa huyu Sanya angeshinda kwani walijua amebebwa na nani.

alibebwa na nani ? Edo nini ?
 
Huyu bwana mwaka 1995, nikiwa mdogo sana nasoma Primary, nilijisogeza kwenye Kampeni zake pale Arusha. Nakumbuka haya maneno kutoka mdomoni mwake " CCM kitu gani, mnababaika nayo kwa lipi, ilipikwa na kupakuliwa nyumbani kwetu naijua na hivyo sibabaiki nayo". Lakini baadae akarudi humo humo pasipombabaisha.
Mimi nafikiri kwa yeye binafsi hatajali sana maana anaijua.
 
hehehehe, alileta story za site akijua ana support ya mwenyekiti etu kuvua magamba, haya sasa, nenda mkasimuliane tena site...chezeaa mafisadi wewe
 
mkuu Concrete nini maoni yako katika hili?binafsi najifunza mengi kupitia posts zako.
 
Last edited by a moderator:
Makongoro hana sifa ya uongozi anabebwa na jina la baba yake Mwl Nyerere, mtu makini ni Madaraka.

kama hakuwa na sifa hata NEC na CC ya ccm haiko makini kumkubali ateteee kiti hicho huko mara.
 
Alitegema nini baada ya kuwakomalia mafisadi?

Aliyebariikii kuanguushwa Makongoro ni JK mwenye kwa sababu Zake ....na Lowassa pia na sababu Zake ......JK hasira juuuu ya miisimamo ya Mako kwenye vikao Vya ndani ...kumuuambia wazi biila ..kumuuoofia...kumwambia mambo wazi.
 
Its time for change, hata kwa CCM, Kila siku watu wale wale wanapokezana kama kiti cha ufalme? Bora tuone new talents nazo zina jipya gani!!! TATIZO CCM MTU ANAWEZA KUSHINDWA THIS TIME, AKACHAKACHUA NEXT TIME AKARUDI KUWASUTA WALIOMBEZA. Mfano WASSIR, alishindwa watu wakashukuru baada ya 5 years karudi na UWAZIRI juu. Jimbo lilitimkaje? Hata KARAMAG NA MASH nasikia wanajipanga kuteka jimbo kwa kishindo 2015. Kuteleza si kuanguka!
 
Makongoro mtu wa kula maji tu ,(kumbuka mtu harithi kipaji anarithi jina tu)tokea mwanzo nilijua hamnakitu, walikuja MASASI na MREMA,ni jina tu la Babaake,Nao CDM wamewachukua wakinanyerere kibao.sio kila anaeitwa Nyerere anakipaji cha JULIS.Mulimpa FISADI umeya MWANZA etu tu jinalake linafanana na BABA WA TAIFA, akili mali !!!
 
Kama kawaida nachana kwa uwazi:

1. Huko Mara akina Mathayo & Sons ni janga la CCM na ni janga la kitaifa. Watu wanaojipanga na kulazimisha kuwa na mtandao wa kumkubali Mathayo kwa nguvu zote na kwa kutumia fedha hadi inakifu. Huwezi kulazimisha Musoma ikatawaliwa na watu wa aina moja, kabila moja , msimamo mmoja nao ni wa kuwa kwenye payrol ya akina Mathayo; itafika mwisho watu watachoka na matokeo yake tutayaona baada ya muda mfupi.

2. Pamoja na michezo michafu ya Mathayo, hata Makongoro Nyerere kweli amepitwa na wakati sana na hafai kuwa kiongozi wa ngazi hiyo aliyokuwa anaitaka kwanza hana la kuonyesha la maana alilolisimamamia kama maendeleo mkoani na pili kwa nini mtu awe ni Mbunge wa EAC aone kama vile uwakilishi huo bado si chochote anataka kuwa kiongozi wa chama wa mkoa wote?

Hivi anaweza sasa kuonyesha kuwa ametekeleza vya kutosha majukumu yote ya uwakilishi wake Bungeni kiasi cha kuwa na muda wa kupiga propoganda za Chama na kuhamasisha wana CCM Mkoani? Nakubaliana na aliyemtaja Madaraka Nyerere ingawa si vyema kulinganisha watu maana kila mtu ni unique lakini ukweli ni kwamba Madaraka asingejiingiza katika uchaguzi wa namna hii baada ya kuwa amekuwa Mbunge mwakilishi wa nchi yetu ktk Jumuiya ya A/M.

Huyo aliyechaguliwa simfahamu kama ana sifa na hakuingia kwa rushwa basi anafaa , otherwise basi wote walikuwa bomu na hawatasaidia Mkoa wa Mara.
 
wewe makongoro si wewe uliyempinga Lowassa, ukatamka wazi bila wasiwasi mbele ya mwenyekiti wenu awashungulikie? chezea Lowassa wewe? nilijua toka mapema lazima uchapwe, na hiyo ndiyo fimbo. usipostuka mapema na kuama chichiam utazimwa kisiasa kabisa. Hakuna wa kushindana na Lowasa ndani ya chichiam hata mwenyekiti wako anamgwaya. hahahaha! pole mtoto wa mwalimu.
 
Njoo site Tanga tupige story,Leigwanan anaorodhesha wa kuwaweka jela mmoja mmoja,we pia umo na Nape na wengine kwa sasa ni Mawaziri,pia waliosababisha mkwe wake kuanguka Arumero wote choma ndani,hahaha Chezeya kisasi chake weye
 
Pole Makongoro ccm ni ya wagawa hela na wala hela na si ya watu waungwana na wenye msimamo thabiti na wa moyo wa uzalendo kwa taifa letu
makongoro achana na wala rushwa akina gachuma huwawezi ccm bila kitambi, pesa mbelembele ccm ya sasa si ile ya babako rushwa ni mwiko kwa mwana ccm siku hizi mkono mtupu ni mwiko sitatoa kura kwa maneno matupu wewe si mla wala mtoa rushwa hata ubunge ulionao cdm ndo walikupa sasa ulitegemea ccm wakuchague katikati ya rushwa si uliona ghachuma walivyokukalia kooni kwani miaka mitano uliwanyima raha kila siku kuwasonda kidole wala rushwa sasa na wao wamepata nafasi ya kukusonda kidole na kukuonyesha mlango wa kutokea nje out waachie ccm yao bwana
 
Kura 420 aliizopata Mako Biila kuhonga ni bora kuliiko kura 480 aliizopata mshindi ...
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
[/FONT]

A%20S%2013.gif



 
Let me be sanguine. I love Makongoro like I would my younger brother. I am happy he is no longer chairman of CCM in Mara because now the way is open for Chadema, through, Vincent, to take the realms of opposition politics in Mara without deferring to our brother Mako. In other words, the gloves are off and CCM is in for a rough ride in Mara.
 
Makongoro si mwanasiasa wa kumtisha mtu, bora wamemlamba chini tu!
 
Back
Top Bottom