Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

watanzania ni viwanda vya kutengeneza umbea, uwongo na uzandiki, makongoro afe kwa lipi? labda pombe na wanawake

Huo unaouongea sio uongo unafiki?hizo pombe na wanawake unamtaftiaga mkuu au mnakunywa wote?na mwanaume gani ambae apendi wanawake...au we gay mkuu?mtu kulewa ajabu nini au kakuvulia nguo barabarani ?sema wapi alilewa akashindwa kujiheshim? Akilewa Obama au Bush..Mourinho. . Ferguson unasema wana enjoy mvinyo..tabu akinywa Makongoro tu sio?
Huo wako sasa ndo uongo na unafki
 
Tumeshampa ulinzi wa kutosha. Mwambie awe na amani asubiri nomination. Hakuna atakayethubutu kumfanya lolote.
 
Hivi kutia nia ni kuwaponda wagombea wengine? Maanake style yake ilikuwa ni kuwaponda akina Wassira, Lowassa, na kadhalika.

Mbona watia nia wengine wapo kimya kabisa kama Dr. Maghufuli.



Watoto wa Kambarage ni majasiri sana kama baba yao.
 
Last edited by a moderator:
Hao mliowalisha SUMU na wakanusulika mlitaka kuwaua kwa lipi? Mnalilia madaraka kwa udi na uvumba eti ili mtenegeneze serikali ya MASKINI NA MATAJIRI!!!!! Hiyo ni ndoto ya MWEHU kwani toka lini MATAJIRI WAKALA SAHANI MOJA NA MASKINI? Wangekuwa wanakula sahani moja MATAJIRI wasingekuwa wanaficha mapesa yao USWISS!!!.

...matajiri wasingekuwa na mageti makali ya kuzuia maskini wasiingie kwao
 
Kile kituo cha Kaburu Mzee wa Mizinga haaa haaa akikuona pale lazima akupiga mzinga wa ukweli.Namsangaa Muislam safi mwezi mtukufu anakunywa Kilimanjaro mtindo mmoja.

Halafu jana kuna rafiki yangu MwanaCCM damu aligombea nafasi ya mwenyekiti (Kaka siku hizi balozi wa nyumba kumi) akangukia pua jana aliponiona akawaambia vijana mpisheni mzee hawezi kusimama foleni sikuchukua hata dakika 5 tayari kisu kipo mkononi tayari kuchinja mwezi october.Ikabidi niende makutini kutwanga maji ningerejea nyumbani mapema wangeshangaa sana.

Teh teh Mkuu,

Mkuu, Kaburu alijiandikishia NALOPA, Halafu yule Mzee ni muongo, jana kuna mahali tulikuwa akawa anahadithia kuwa alipoenda kujiandikisha machine iliharibika camera, kwahiyo ukipigwa picha kama ni mwanaume unatokea mwanamke, halafu akawa anaapa kabisa!
 
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu

ktk maraisi waliopita hi nchi kikwete ndio anaongoza kwenye uongozi kwa uzoefu ni nini alilo lifanya na uzoefu wake kama si kutuachia majonzi!.uzofu ktk uongozi ni mtazamo tu
 
mtoto wa rais tena wa kwanza na mwenye heshima ndani na nje ya tanzania na aliyekaa madarakani kwa miaka mingi atatafutaje umaarufu? nadhani wewe kwa kujibu hivi ndiyo unatafuta umaarufu. hivi kwa mfano leo hii utasemaje mtoto wa rais wa marekani obama " sasha " anatafuta umaarufu?
anamuonea wivu hana lolote huyo
 
si akaripoti polisi,hata wewe ndugu yake,on top of that wewe ni kampeni manager wake hujamshauri? mi naona mizimu ya nyerere haijaridhika kwa yeye kuweka nia,inamtokea kila wakati usiku ila yeye anashindwa kutafsiri sura za hiyo mizimu 15
Hahahaaaa usinchekeshe.CCm ni chama pekee chenye watumishi na viongozi hata wa ngazi ya juu kabisa ambao wanakituhumu kinataka kuwadhuru.Kwa mshangao badala ya kuachana na wauaji bado wanazidi kuwakumbatia mfano Dk.Mwakyembe naye aliwahi kulitamka hili tena kwa undani kabisa akisaidiwa na Sitta.Ila siamini kama wanasema wanachokiamini au wanaamini wanachokisema ni kama vile mazingaumbwe au wanatukejeli vile ili waone tutasemaje au wanatafuta huruma ya kisiasa.

 
Kama kuna watu wanapuuza hii taarifa ni wa kuogopa kama ukoma. Nimefarijika walau ulinzi wake umeboreshwa zaidi.
 
Hiyo ndio Ccm yasashivi,yeye alifikiri nimahala salama?.Acha yamkute mana Watanganyika wote wameshaondoka huko nakujiunga na ukombozi chini ya Ukawa(Cdm)
 
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu

Duu humu ndani ya Jamii forum kunashida. Watu bado wanamawazo ya zama za ujima. Eti "yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu"
Leo ndugu yangu unawaza kizamani hivyo! Nenda Darasani ndugu.
 
Kwa kuwa amejipambanua kupinga rushwa na ufisadi basi tishio lolote km hilo lazima liwe timu lowasa
 
Mako bana...hivi hao Mafisadi 15 wakipelekwa uwanjani na bastola zao, wawekewe Mako na Zito, au Kafulila mbele yao...waambiwe shoot....nadhani kitakachomuua Mako ni presha kwa kuona mwili wa Kafu ulivyogeuka chekecheke....kama atakuwa hajafungwa kitambaa usoni....au afe kwa milio ya risasi kama atakuwa hajawekewa ear plugs.

.....eti wanataka kumuua....
 
Hivi kutia nia ni kuwaponda wagombea wengine? Maanake style yake ilikuwa ni kuwaponda akina Wassira, Lowassa, na kadhalika.

Mbona watia nia wengine wapo kimya kabisa kama Dr. Maghufuli.



Iko tofauti kati ya kuponda na kusema ukweli. Mako anasema ukweli mnataka kumkolimba.
Hivi angesema Wasira ni mrembo kuliko Wema nadhani mngechekelea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom