Hana lolote huyo anavunja kabisa heshima ya baba wa Taifa anajilazimisha tu kwenye siasa lkn hayupo
Ilikuwa Mwakyembe sasa anataka kumuua Mako. Huyu fisadi hatari.
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
sio kweli anajua anachokifanya najua angesema mtu fulani mgeshangilia lakini mungu yuo kwa haya
1, kuwanyonyoa ngozi mwakyembe na mwandosya
2, kutaka kumpa sumu comred magula
3, na sasa makongoro
labda kama sio mungu wa kweli,
kumbe jamaa anapiga gongo! ni noma
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
Anatafuta umaarufu
Ningeshangaa kama Makongoro asingetishiwa maisha hawa jamaa ni shida nyingine kabisa linapokuja suala la kutaka madaraka.