Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Mpuuzi hupuuzwa
Mamvi kuanzia tarehe 12.07.2015 ICU ndo yatakuwa makazi yake ya kudumu mtatishiana mpaka kuuana lakini ccm lazima iondoke madarakani hii nchi siyo baba yenu.Mimi naenda kesho pale uwanja wa UFLO. Nyuma ya ghorofa mbili.
siasa za ccm ni sawa na kucheza kwenye kinywa cha mamba ! kuna hata walionyonyoka nywele lakini bado wamo tu ! hivi kuna kizuri ndani ya ccm kushinda uhai ? mnasubiri nini kuondoka?Makongoro Nyerere anasema kuwa watu 15 wanataka kumuua.
Makongoro Nyerere anasema kuwa watu 15 wanataka kumuua.
Tutaona na kusikia Mengi mpaka mwezi wa 10, Mako kawa mwiba sasa naona wanataka kumzika mapema.
Wamuue kwa lipi? Anatafuta pa kutokea tu, hana lolote vilevile.
Mako ndiye
Utakuta huyo mamvi ndo anaongezewa ulinzi. Never say never mpaka dk 90 ziishe!Mamvi kuanzia tarehe 12.07.2015 ICU ndo yatakuwa makazi yake ya kudumu mtatishiana mpaka kuuana lakini ccm lazima iondoke madarakani hii nchi siyo baba yenu.
si akaripoti polisi,hata wewe ndugu yake,on top of that wewe ni kampeni manager wake hujamshauri? mi naona mizimu ya nyerere haijaridhika kwa yeye kuweka nia,inamtokea kila wakati usiku ila yeye anashindwa kutafsiri sura za hiyo mizimu 15
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
Hivi mtu kama anapata tishio la kushindwa uchaguzi anapanga kuua wapinzani wake jee akipewa madaraka na akashindwa ku delivery kinachotegemewa na mkamwambia mtamtoa itakuwaje?
Huyo atatupiga na makombora ya kutungua ndege kama yule wa Korea kaskazini
Nani kakwambia hajariport?