Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

Mnataka kumuua mwenye chama chake! Tunataka chama chetu cha wakulima na wafanyakazi over. Ili na sisi watumishi tugombeeee!!
 
... Wewe sema porojo tu.

Team lowassa ndio wanataka kumuua Makongoro.

Fikra Na Mawazo .. huwezi kuyasemea. Kivitendo kawauleze. Wameshashindwa KABISA. Wamechoka ... ! Kipigo walichokipata watasambaratika .. hadi hakuna atakaye amini. Kama ni mambo ya magonjwa na kuzidiwa afya kuporomoka ... NK ... ! Ni huko kwenye kambi yao.
 
yamekuwa hayo tena.....ila inawezekana manake alifikiri kuutaka urais ni sawa na kupika ugali wa mtama,sasa tension iko juu, pressure imempanda hadi inataka kumtoa roho
 
Hiyo ndio ccm. Wanataka vyeo kwa kuchinjana. Hii ni zaidi ya Sudan, Misri au Kongo
 
Makongoro Nyerere anasema kuwa watu 15 wanataka kumuua.

si akaripoti polisi,hata wewe ndugu yake,on top of that wewe ni kampeni manager wake hujamshauri? mi naona mizimu ya nyerere haijaridhika kwa yeye kuweka nia,inamtokea kila wakati usiku ila yeye anashindwa kutafsiri sura za hiyo mizimu 15
 
Hivi mtu kama anapata tishio la kushindwa uchaguzi anapanga kuua wapinzani wake jee akipewa madaraka na akashindwa ku delivery kinachotegemewa na mkamwambia mtamtoa itakuwaje?
Huyo atatupiga na makombora ya kutungua ndege kama yule wa Korea kaskazini
 
Wamuue wahame nchi..mafisadi yakiongozwa na manvi..yameanza kuweweseka na kutaka kuu watu..
 
Tunaomba Rais wetu apewe kikosi maalum cha kumlinda ili Lowassa na kundi lake wasimzuru make kwao ni bora mikono yao inuke damu lakini waingie magogoni


rais wa chamà cha wacheza bao
 
Hana lolote huyo anavunja kabisa heshima ya baba wa Taifa anajilazimisha tu kwenye siasa lkn hayupo
 
Tunaomba Rais wetu apewe kikosi maalum cha kumlinda ili Lowassa na kundi lake wasimzuru make kwao ni bora mikono yao inuke damu lakini waingie magogoni

Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
 
Back
Top Bottom