kumbe jamaa anapiga gongo! ni noma
Makongoro Nyerere anasema kuwa watu 15 wanataka kumuua.
Makongoro Nyerere anasema kuwa watu 15 wanataka kumuua.
watanzania ni viwanda vya kutengeneza umbea, uwongo na uzandiki, makongoro afe kwa lipi? labda pombe na wanawake
Wamuue kwa lipi? Anatafuta pa kutokea tu, hana lolote vilevile.
Sipati picha, jamaa wanakwenda Butiama kuomba baraka za Baba wa Taifa na wakiwa wamepiga magoti pale kaburini hapo hapo wanafikiria jinsi ya kumtoa mwanawe uhai ili waingie Ikulu. Kweli CCM/Tz kumekucha wakichukua nchi sisi wengine si ndio basi tena?????
Rais wa wanywa gongo au? hili nalo linahangaika tu ..yaani mtu hajawahi hata kuwa katibu kata eti anautaka u Rais si upumbafu huu
Jana nilichukua kisu pale Naura secondary sikukuona zimebaki siku tano tu.
Mimi naenda kesho pale uwanja wa UFLO. Nyuma ya ghorofa mbili.