Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
956
Reaction score
120
Dalili za Makongoro Nyerere kukata tamaa zimeanza kuonekana baada ya leo kuanza kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa CCM itapitisha mgombea asiye na sifa na amedai dalili zote ameziona kuwa mgombea mtoa rushwa ndiye ana ushawishi mkubwa kuliko wengine hivyo amekitupia lawama chama chake kamati kuu na NEC imewekwa mfukoni na hawawezu kuchukua hatua yeyote.

Haya sasa katumika ameachwa anaanza kulia.

Source: Startv au SIMU.tv
 
Hii habari imeandikwa na gazeti moja la leo na kama sikosei ni Jamboleo.
 
Makongoro atakataje tamaa wakati CCM wanampango wakuyatupa mapakacha yote yaliyo jaa rushwa na ufisadi.
 
Hivi kurejesha fomu iliyokamilika ni kubwaga manyanga. Huyo ndiye kiboko wa Jambazi lenu sugu la mali za Tanzania. Jambazi linaendelea kucheza filamu kama za akina Rambo na Waevietnam
 
fununu hizo hata mimi nimezipata kwa mtu wa karibu wa makongoro lakn mako anapaniki ovyo ovyo Any way Mako anatakiwa kujua CCM sio mali ya baba yake
 
Dalili za Makongoro Nyerere kukata tamaa zimeanza kuonekana baada ya leo kuanza kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa ccm itapitisha mgombea asiye na sifa na amedai dalili zote ameziona kuwa mgombea mtoa rushwa ndiye ana ushawishi mkubwa kuliko wengine hivyo amekitupia lawama chama chake kamati kuu na NEC imewekwa mfukoni na hawawez kuchukua hatua yeyote.
Haya sasa katumika kama kondomu sasa ameachwa anaanza kulia.
Muongo wewe...uzushi huu umetoa wapi umeombwa ushahidi source yako nini umenyuti hatuoni source yako...Kajipange upya unatka kuwapa moyo wale wa pande zile zinazojua kabisa ni wasindikizaji baada ya kuona mwenye vigezo vyote ni tishio kwao sasa umeona uje na FICTION STORY...kaandike upya uje na nyingine hii version haiuzi.
 
Halafu kaingia cha kike, afadhali angemsema mgombea mwingine, Makongo siyo wa kukata tamaa kijinga hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom