Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

Makongoro akataa tamaa na mbio za Urais CCM?

Makongoro atakataje tamaa wakati CCM wanampango wakuyatupa mapakacha yote yaliyo jaa rushwa na ufisadi.
Isipokuwa EL mwana wane. Hiyo ndume imeshaweka watu wakubwa na wadogo mumufuko. Mamvi jana alikuwa babati na kama ilivo ada viongozi wa chama na serikali pamoja wafanya biashara wenye ukwasi wanaendelea kusambaza mlungula huku wapokeaji waki ni wanasiasa uchwara na watumishi wenye njaa.

Hata hivyo makongoro hajawa na sababu ya kukata tamaa!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Umeonae, Mleta mada katumwa.
Msipe chati hivyo Tatamadiba huyu KAJITUMA ukisema katumwa waliotuma wote wakiwa na akili type hiyo basi ni ZIRO ni heri ya yeye kuonekna Ziro kwa kujituma na uzushi wa uzi wenye hoja hafifu ya kujitingia uku akiwa hana hata reference...tena basi angekuwa na ufahamu basi angekusanya basi ata uzi wa kijigazeti Salay Slip alichokisema kujustify maelezo yake.Si ajabu kakurupuka baada ya kusikia mvumo wa wazee wa kimya kimya kusiko na mbwembwe wanaitwa simba wenda pole ndio walao nyama.Mwacheni hajipe matumaini ukweli anao moyoni mwake sasa JAKAMOYO linawasumbua MBAYA akiwemo mleta thread inaonekana HATAKI kuamini KIJACHO.
 
Bora yeye ameanza kusoma Alama za Nyakati mapema.Mpango uliopo ni mkubwa wakati huo kujadili majina mawili ilikuwa tabu mpaka usiku wa maneno sasa haya 40 wataweza hao wanec mpako ni kura wapate matano na badae kura tena wapate 3 kama ni kura maana mzee wa Mvua yuko juu.
 
Hivi kurejesha fomu iliyokamilika ni kubwaga manyanga. Huyo ndiye kiboko wa Jambazi lenu sugu la mali za Tanzania. Jambazi linaendelea kucheza filamu kama za akina Rambo na Waevietnam

Petro mdogo wangu chunga mdomo wako, watu hao ni hatari, muulize mwa kiweembe
 
Dalili za Makongoro Nyerere kukata tamaa zimeanza kuonekana baada ya leo kuanza kulalamika kwenye vyombo vya habari kuwa ccm itapitisha mgombea asiye na sifa na amedai dalili zote ameziona kuwa mgombea mtoa rushwa ndiye ana ushawishi mkubwa kuliko wengine hivyo amekitupia lawama chama chake kamati kuu na NEC imewekwa mfukoni na hawawez kuchukua hatua yeyote.
Haya sasa katumika kama kondomu sasa ameachwa anaanza kulia.
Acha utaahira
 
yeye mwenyewe hana credibility ya kukemea wenzake.

ananikera anapojaribu kumuigiza Baba wa Taifa. Aliyemwambia kuzaliwa na Julius kunampa tiketi ya kuwa rais ni nani?
 
Labda Makongoro Mwingine, siyo huyu mgombea urais wa kutokea Mwitongo. Hawezi kuishia njiani kirahisi hivyo.
Mutu za Mara huwa sio quitors hata kidogooo sasa hakujua hata kwa kujifunza uongo basi ufanane na ukweli...Ukisikia lugha kama MUKYARO NING'AMBA KUTYA...yani mpaka kinaeleweka kumbuka SWALA la yeye kuwa kule wealio wengi hawakutaki yani upande wa KUPINGA UFISADI NA RUSHWA tambua nao pia kwao ni HATIMA ya maisha yao ya COSMETIC kupigwa chini hivyo ata UONGO wa aina ya hivi utazunguka sana kwenye kujalibu kuwaaminisha kuwa bado wana uhai kumbe ndio mwisho umewadia...kama alivyokuwa waziri wa Marehemu Sadam Mzee wa mbwembe za historia dunia haijapata kuona Muhammad Saeed Al Sahhaf Marekani akijulikana kama Baghdad Bob, Uingereza akijulikana kama Comical Ali na Italy Maalufu kama Ali Ili Comico.

Naomba asaidiwe kuchagua majina hayo matatu ya Sahhaf..lipi litampendeza...Comical Jasho La damu...manake naliona jsaho mpaka kwenye meno..
 
Makongoro alikurupuka kuchukua fomu,,ndio mana sera yake ilikua ufisadi tu sasa chama kiliposema hakuna kushambuliana hakuwa na ajenda nyingine.
 
Mleta maada apunguze bangi la sivyo namtonya kamanda Nzowa
 
Bavicha mnamtetea Makongoro ili apitishwe mshinde kirahisi,hilo haliwezekani kamwe,Lowasa ndo dawa yenu,CC haiwezi kufanya makosa hapo
 
cc ya ccm wakimpitisha tu lowasa imekula kwao. maana ameshawaweka wajumbe wote wa NEC na mkutano mkuufukono. hawapumui mbele yake.
 
Hivi kurejesha fomu iliyokamilika ni kubwaga manyanga. Huyo ndiye kiboko wa Jambazi lenu sugu la mali za Tanzania. Jambazi linaendelea kucheza filamu kama za akina Rambo na Waevietnam
Hii nchi yetu moja ya sababu kubwa za kutoendelea ni mikataba mibovu inayofanywa na wanaojiita wanasheria wasomi kama wewe ambao hawatumii kiungo stahili katika kufikiri.
 
Bavicha mnamtetea Makongoro ili apitishwe mshinde kirahisi,hilo haliwezekani kamwe,Lowasa ndo dawa yenu,CC haiwezi kufanya makosa hapo

lowasa akipitishwa na ccm wapinzani wakijipanga vizuri watazoa wabunge wengi na hata urais wanaweza pata...
 
Back
Top Bottom