Acha uchuro wewe.Kila la heri Taifa Stars.
Eti ameenda kama mshauri-rika wa kochaHivi moakonda kule kaenda kama nani?
Mi nlitegemea laba nimuone Mwakyembe au manaibu wake ndo wapo kule
Naona wamejazana wabunge wakiongozwa na spika...daaah hii Tz hii
Unaelewa tofauti ya serikali na "wananchi"?Serikali na Rais vyote ni miliki ya Watanzania. Ubaya uko wapi hapo?
Sio siasa tupu ni unyinyiem mtupuSiasa tupu,wametumwa na Rais na Serekale. Sisi wananchi hawatutambui. Wapigwe tu.
Ndio lipo zuio maana hawana mamlaka ya kutumia kodi zetu kwa tamko tuHivi labda mimi sijaelewa,kuna zuio lolote lile la vyama vya upinzani,watu binafsi na wanaharakati kutoka asasi mbalimbali kuto kwenda kuishangilia Taifa stars,au chuki tu
Huwa hawana aibu kabisa hao. Kwani si miezi tu imepita tangu waharibu biashara ya korosho? kama wangekuwa na akili kidogo wangejifunza kwenye koosho. Tuseme wee ukiona tu hawa jamaa wawili wanatia mkono kwenye jambo lolote hesabu kuwa hilo jambo limeshaharibikaNgoja tutolewe AFCON tumuone matako hayo atapanulia wapi?
shenziiii ii kabisa
Nawewe nakuunganisha kwenye kundi la Bashite maana kama ni kumsamehe tushamsamehe lakini hajirekebishiTumsamehe jamani huyu kijana wetu Nadhani malengo yake si mabaya ila anashindwa ufikishaji
HapanaUnaelewa tofauti ya serikali na "wananchi"?
Wao wenyewe walisema wanaenda kuiwakilisha serikali na sio Taifa!!Furahini kiasi tu maana hajafungwa Makonda peke yake, tumefungwa sote (Tz).
Serikali ni ya CCM Tanzania ni ya WananchiHapana