Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Kubabeki. Kenya piga hao 5-0
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Algeria
Kubabeki. Kenya piga hao 5-0
Angeenda Mbowe ndio uzalendo,
Rais kashindwa kumtuma Waziri wa michezo kamtuma Mkuu wa Mkoa?Siasa tupu,wametumwa na Rais na Serekale. Sisi wananchi hawatutambui. Wapigwe tu.
Pamoja mkuu.Nipo na harambe star
Spika ashasema ana kikosi mitandaoni....
Angeitaja nchi na wananchi wake na sio majina ya wanasiasa....Angeenda Mbowe ndio uzalendo,
Ndugu Laliga, napenda nikuhakikishie kwamba, ombi lako nimelisikia na nitalifanyia kazi!Magu mpe Makonda uwaziri ili watu wafe kabisa, wivu na roho mbaya ni ugonjwa mkubwa.
I see Mbowe is a pain in your big black a.s.
Akili za mchwa hizi
Nawapenda Taifa stars naipenda nchi yangu ila Kwa ujinga na kiherehere cha bashite na ccm wametia doa, hivyo hakuna namna natamani Kenya washinde tu,labda akili zitawarudi mpira wasiuchanganye na siasa
punguza jazba za kike.Serikali ina mazuri mengi na mapungufu pia, wewe kubwa jinga endelea kuburuzwa kwa kutoona mazuri.
Kabisa angeenda Lissu na Mbowe tungechukua AFCON
Inasikitisha sanaKuna clip nimeona eti bashite anawafanyia maombi wachezaji!!..totally bullshit
punguza jazba za kike.
acha jazba za kike.Soma comments zako za kitoto na zangu ndio utagundua nani ana jazba za Kidem
Hawa watu wanakukosesha sana usingizi