Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

Mimi naamini Msuva ameongea vile kwasabb ya (ufahamu) elimu, hajui tofauti ya serikali na nchi, naomba tumsamehe bure then tuishangilieni stars maana ipo kutuwakilisha wananchi wote
Hawa waomba kura wanachanganya wachezaji wetu... Msuva ameteleza tu
 
Hatutaki chama chochote mpira ni free kabisa hakuna siasa katika mpira. TFF waendeshe mpira siasa zifanywe sehemu zake watuachie mpira please na nasema wote washabikie kama wapenzi wa kawaida tu
Ngoja tutolewe AFCON tumuone matako hayo atapanulia wapi?

shenziiii ii kabisa
 
Watanzania tuna safari ndefu sana!! wachezaji inabidi wapewe mafunzo ya jinsi ya kuongea public!!
Hawajui kabisa huyo Mbwana yuko nje tu na hajui kuongea na media. hutakiwi kutoa maelezo, unaulizwa swali jibu swali sio ngonjera tena na uwe smart ku twist swali a mtego liweke sawa. mtu akulizwa swali anaanza mashairi
 
Hivi moakonda kule kaenda kama nani?

Mi nlitegemea laba nimuone Mwakyembe au manaibu wake ndo wapo kule

Naona wamejazana wabunge wakiongozwa na spika...daaah hii Tz hii
 
Nshaweka mkeka wangu, nyang’au lazima wamtandike stars makonda eti anampigia amunike magoti, akawapigie manyang’au
 
Usilazimishe kila mtu kufuata unachoona wewe ni sahihi, wewe mshabikie Mbowe na mimi naona na kupongeza baadhi ya mazuri yanayo fanywa na serikali.
Utakufa na kihoro. Kenya piga hao CCM stars 5-0 mpaka watie akili. Ngoja nikanunue popcone kabisa huku nimevaa jezi ya Kenya. Ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom