Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,026
Kwanini hakwenda kabla?Tuache au tupunguze Chuki haisaidii, ni jambo baya tunasema na kumkeji Makonda vibaya lakini tunashindwa kukumbuka kuwa yeye ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars!