Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

MILUZI MINGI HUMPOTEZA MBWA MWELEKEO YAJAYAO YANAFURAHISHA.
 
Akiita Taifa Stars ndio timu itachukua AFCON? Ujuaji mwingine ni upuuzi tu. Mpira ni uwekezaji sio chuki zenu za kisiasa na upuuzi mwingine
Mkolomije kwenye ubora wako..Bashite anaita timu Taifa star. .badala ya Taifa stars maana wachezaji 23..kilaza tu
 
Nje ya mada:
Mwenye kujua thread ya yule mchezaji wa Misri aliyefukuzwa kambini kwa kosa la utovu wa nidhamu wa kupiga PUNYETO ani tag!!!
 
Hii kauli aliyotoa mchezaji ni mbaya sana, sijawahi sikia ronaldo, messi au mchezaji mwingine kwa wenzetu akisema "serikali/rais" huwaga wanasema "nchi/taifa/wananchi"!!
Hakika ndugu
 
Rais Dr Magu angesoma alama za nyakati! inawezekana makonda yuko sawa lakini kwa wananchi kaharibu angemuacha kwanza kumuweka front line.
 
Hii kauli aliyotoa mchezaji ni mbaya sana, sijawahi sikia ronaldo, messi au mchezaji mwingine kwa wenzetu akisema "serikali/rais" huwaga wanasema "nchi/taifa/wananchi"!!
Sasa tunakitu tunapaswa kujifunza
 
Mimi naamini Msuva ameongea vile kwasabb ya (ufahamu) elimu, hajui tofauti ya serikali na nchi, naomba tumsamehe bure then tuishangilieni stars maana ipo kutuwakilisha wananchi wote
 
Ndo yaleyale aliyoyasema mwalimu Alex Kashasha 'wanasiasa' na 'kamati za ufundi' zinazidi kuwachosha kiakili wachezaji, kwako Kashasha waeleze mental fatigue inayosababishwa na wasio wanamichezo wataalamu kupanga foleni kutoa hotuba zitakazoifungisha timu 'kwa zali la mentali':

 
Hii mechi wamezidisha siasa, wangeacha vijana wafanye kazi yao... mi binafsi napenda tushinde.
Ila naona kama tutafungwa kabla ya tarehe 28.6.2019
 
Angeenda Mbowe ndio uzalendo,
Hata Mbowe kufanya nini wote ni wamoja tu. Hatutaki siasa katika mpira basi awe CCM sijui Chadema hata ACT hatutaki wanasiasa katika mpira na hao wabunge si wana team yao wacheze hukohuko wanatugawa tu mpaka team imepoteza mashabiki. na uhakika wengi wataomba Nyayo washinde
 
Akiita Taifa Stars ndio timu itachukua AFCON? Ujuaji mwingine ni upuuzi tu. Mpira ni uwekezaji sio chuki zenu za kisiasa na upuuzi mwingine
Kwa hiyo ameenda kuwekeza Misri?.. mpira hauko mdomoni ndugu,
kiki nje ya taaluma ni kuwatoa watu kwenye game
 
Hivi labda mimi sijaelewa,kuna zuio lolote lile la vyama vya upinzani,watu binafsi na wanaharakati kutoka asasi mbalimbali kuto kwenda kuishangilia Taifa stars,au chuki tu
Hatutaki chama chochote mpira ni free kabisa hakuna siasa katika mpira. TFF waendeshe mpira siasa zifanywe sehemu zake watuachie mpira please na nasema wote washabikie kama wapenzi wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom