Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

Makonda unasababisha tuichukie Taifa stars

Serikali ni ya CCM Tanzania ni ya Wananchi
Sikulijua hilo...mimi nilijua vyote serikali, CCM, ADC, ACT, UDP, CUF, nakadhali ambavyovinapata ruzuku ya fedha zitokanazo na kodi za wananchi wa Tanzania vyote ni miliki ya wananchi wa Tanzania.
 
Waziri mpumbavu aliyepitiliza yule?. Kweli Tanzania tushakuwa gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyo ni waziri mtarajiwa, saga chupa unywe ikishindikana jinyonge. Eboo
 
Umesikia mimi ni Serikali au CCM?
Wameanza kutuhusisha watanzania tena?Kwa lipi?Si amesema kaka yao kuwa ni timu ya Chama na inatekeleza sera za chama tawala na kumwakilisha Rais wetu wa nchi.Tumewaacha wachezaji wame concentrate kama alivyotuambia sisi tusioipenda Taifa stars..
Haiwezekani siku ile tupige makelele pale taifa siku ya Uganda hata kama tulibebwa..lakini tulionesha moyo mkuu wa kuwapa support vijana.Toka enzi zile tuliipenda timu na mapungufu yake.Leo anakuja mtu mmoja na kikundi chake anatufundisha cha kufanya juu ya timu yetu.Uzuri muda umeamua..
 
Kwakweli muda ni wakati mzuri
 
Umaskini, ujinga na magonjwa. Anza na kuondoa ujinga kichwani mwako
Utakufa na kihoro. Kenya piga hao CCM stars 5-0 mpaka watie akili. Ngoja nikanunue popcone kabisa huku nimevaa jezi ya Kenya. Ha ha ha ha
 
Timu ya mr zero bashite na babake imechabangwa na Harambee stars.Hakika leo ni siku ya furaha
Furaha tele. Tunasubiri mechi ya kukamilisha kuyaaga mashindano kati ya mawowowo fc na Senegal.
 
Furaha tele. Tunasubiri mechi ya kukamilisha kuyaaga mashindano kati ya mawowowo fc na Senegal.
Tutakie mema kaka juu sisi na uganda tukifanikiwa tutakuwa tunawakilisha Afrika Mashariki. Na pia Mawowowo ya manisha?
 
Tuache au tupunguze Chuki haisaidii, ni jambo baya tunasema na kumkeji Makonda vibaya lakini tunashindwa kukumbuka kuwa yeye ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars!
 
Tuache au tupunguze Chuki haisaidii, ni jambo baya tunasema na kumkeji Makonda vibaya lakini tunashindwa kukumbuka kuwa yeye ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars!
Shida ya viongozi wa Tanzania wameweka siasa mbele. Jeshi la Polisi utawasikia hili ni jeshi la awamu ya tano, Wanajeshi nao utawasikia Hapa kazi tu, Taifa stars,viongozi wa CCM wanasema lazima itelekeze ilani ya awamu ya tano. Mkionekana mevaa tshirt za upinzani na mko kama wa 5 mnakamatwa.
Ajira kapiga panga jamaa. Unategemea huyu mwenye Bachelor ya Education yupo mtaani anakomaa unategemea ataipenda CCM? Tanzania ishagawanyika tayari na walioigawa wapo madarakani na bado wanaendelea.
Chuki haisaidii lakini midomo ya watu ikiwa na chuki haiwezi kunena mema na wengine midomo yao wakisema na kweli inatimia. Kuna uzi mmoja ulikuwa unasema Kama Taifa stars ni mali ya CCM basi ifungwe. Jana kimetokea nini?
 
Back
Top Bottom