acha jazba za kike.
Yapi?
Tupo pamoja na harambeeHakika tupo nao
Dada... Utaifa kwanzaaaWafungwee tuuuu!!
Hakuna kitu unasema wewe
Unasema nini weweKuna clip nimeona eti bashite anawafanyia maombi wachezaji!!..totally bullshit
Tanzania ikifungwa maisha ya kila mtanzania anaumia na kufungua life span one monthHakika tupo nao
Wew si upo kifyongo zaidi
"tupeni raha Harambee tupeni raha, ayeeee"
DidI wish victor wanyana to do the same as DIATE done to AISHA MANURA
I wish victor wanyana to do the same as DIATE done to AISHA MANURA
[emoji28]Ndugu Laliga, napenda nikuhakikishie kwamba, ombi lako nimelisikia na nitalifanyia kazi!
Hii kauli aliyotoa mchezaji ni mbaya sana, sijawahi sikia ronaldo, messi au mchezaji mwingine kwa wenzetu akisema "serikali/rais" huwaga wanasema "nchi/taifa/wananchi"!!Hakuna ni hamu ndio tatizo la watanzania ambao wanajichetua tu