BABA GWAJIMA ZIDISHA MAOMBI NAONA PEPO CHAFU LINAANZA KUCHOMOKAMakonda amejipa cheo cha waziri mkuu, waziri wa mambo ya ndani, msemaji wa rais........
I Hope katika hili alilolifanya makonda kwa kutaja watu bila kufikiri, litakuja na funzo ambalo hata lisahau
A wasteful colaboMakonda is mere a servant of the boss! Vinginevyo boss angeonesha kujali damage anazofanya kijana wake. No longer at ease!
Ila wabongo ndo tumechangia kufika hapa. hivi tungefanya ghasia ili katiba mpya ipatikane kipindi kile, what if tungemchagua Lowassa na tukamwepuka huyu M-lofa called president, what if tusingekubali matokea na tukawa tayari kwa lolote? what if watu tukiamua kumtoa kwa nguvu madarakani na hata kwa kum-assassinate pale inapobidi?....whatever the answers! kwa sasa tungekuwa na habari nyingine kabisa...probably watu wangeishi kwa amani zaidiTheory ya kuchimba kisima
Ila tuliepusha mengi sanaIla wabongo ndo tumechangia kufika hapa. hivi tungefanya ghasia ili katiba mpya ipatikane kipindi kile, what if tungemchagua Lowassa na tukamwepuka huyu M-lofa called president, what if tusingekubali matokea na tukawa tayari kwa lolote? what if watu tukiamua kumtoa kwa nguvu madarakani na hata kwa kum-assassinate pale inapobidi?....whatever the answers! kwa sasa tungekuwa na habari nyingine kabisa...probably watu wangeishi kwa amani zaidi
Tulieni hata billicanasssss ilizuiwa kwa muda, walivyoiachia tu sheria ichukuwe mkondo wake nadhani mnanielewa na mnajua kilichotokea.......nadhani kutapime tu kama askofu, then tutakuwa huru, wasafiii.....ila tunavyokimbia kimbia tunakuwa kama tunaficha kitu.Nimekuwa nikitazama kwa mshangao mkubwa kwa namna ambavyo hawa ndugu zangu wameonewa kwa kungolewa jicho la tatu, hii dunia ni ya kutenda wema tu na si kutanguliza chuki na uhasama kwani katika kupanda chuki mavuno yake ni zaidi ya chuki.
Nilikuwa najiuliza kwa namna bwana mdogo Makonda alivyotanguliza Ujuaji mwingi na Sirro wake kwa kuwataja watu majina yao ka jambo ambalo hana uhakika nalo, sikujua kiburi anapata wapi, nimeshtuka baada ya kusoma habari nyingi kwenye mitandao zikidai wote haw wawili wamekimbia samansi, jamani huu ni mwanzo kabisaaaaaaaaaaaaaaa, kazi kubwa ipo mbeleni, hii mtafuatwa popote ambapo mtakuwepo, mtaletwa hata kwa kufungwa kamba, dunia hii si sehemu ya kujivuna na kutanguliza hisia badala ya akili, mfikishie ujumbe huu bosi wenu, Mungu wetu hajalala.
''what goes around comes around''
HIZI NI DALILI MBAYA KUPATA KUTOKEA KATIKA NCHI YA TANZANIA.
TUSUBIRI, MWISHO WAKE UPO.