ms alhabiby
Member
- Feb 26, 2017
- 8
- 4
Napta zangu
Anza wewe mkuuKila cku ni uzi wa makonda tu leteni mada zingine km hamna mtulieeeee
Pumbavuuuuuuu wwKwenda zako huko na vyeti vyako fekero..
Myskyma ni mijitu ya ajab sna maana wewe utakuwa mwenzake tu...
Tutatulia akituwekea vyeti na majina aliyosajili primary na Sekondari!Kila cku ni uzi wa makonda tu leteni mada zingine km hamna mtulieeeee
Na ukiangalia kwa kina zaidi umaskini nao husababishwa na maradhi na ujinga, lakini ukienda mbali mno ujinga nao husababishwa na maradhi na umaskini.Ukiangalia kwa kina, maradhi pia husababishwa na umasikini na ujinga.