Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

Ujumbe umewafikia akina Thomaso.

Ujumbe wake muhimu ni "hakuna mafanikio bila juhudi kufukia lengo/kusudi la kuwa duniani na hai".

Wengi wetu tunaishi kwa wivu, tukishindwa tunatafuta jinsi ya kumharibia mtu
Mkuu vyeti..kila mtu amehustle na amefanikiwa kwa nafasi yake. Aache kulialia kutafuta huruma alete vyeti hapa.
 
Kuna mijitu imekuwa maRC wakati haina elimu sahihi ya kuifanya ijiite ina degree,ndo maana inadhalilisha watu na kuvunja sheria hovyohovyo kwa sababu haitambui kwamba Mungu huwa hapendi mjivuni asiestahili na ndo maana wanadamu wameing'amua kwamba ilipata zero huko nyuma
 
Asilete porojo. Watanzania wanataka athibitishe, ni kweli alipata "the ZERO" au anasingiziwa tu.
Hakuna cha kusingiziwa hapa...
Alipata zero na majina yake ni daudi bashite!
...jiulize ni kwa nini hadi hivi sasa hajakanusha hayo majina!
 
Hao watu aliwatumiaje kupata hiyo degree!?!?

Nadhani hii clip ni mwanzo nzr wa kuichunguza hiyo degree ya makonda jinsi gani aliweza kuipata ukilinganisha na background yq Elimu yake!!
 
Anasema hakuna kazi ya hovyo ambayo hajawahi kuifanya. Alichimba mchanga na kuchoma mkaa Mbezi Luis, na amewahi kuwa konda na kupakia magunia ya watu kwenye magari.

Mama yake ni darasa la 7, baba yake hakwenda shule kabisa.

Anaendelea kusema kuwa alikuwa anatafuta degree moja tu na hivyo alipambana muda mrefu bila kupata degree. Hatimaye aliwatumia watu kupata degree yake.!


Tayari keshachanganyikiwa hajui anachoongea
 
Anasema hakuna kazi ya hovyo ambayo hajawahi kuifanya. Alichimba mchanga na kuchoma mkaa Mbezi Luis, na amewahi kuwa konda na kupakia magunia ya watu kwenye magari.

Mama yake ni darasa la 7, baba yake hakwenda shule kabisa.

Anaendelea kusema kuwa alikuwa anatafuta degree moja tu na hivyo alipambana muda mrefu bila kupata degree. Hatimaye aliwatumia watu kupata degree yake.!


Tafadhali unajua unaweza kushtakiwa kwa kukosea kutaja jina la mtu, makonda ndiyo nani?! Huyu ni Daud Bashite kama unahitaji kumuita kwa jina la Makonda mwambie aweke cheti mezan
 
Atwambie alisajili darasa la kwanza kwa jina gani? Wanafunzi aliosoma Nao primary wanamjua vizuri sana!
Aonyeshe vyeti vyake! Aonyeshe vyeti vyake!
Hajajitambua bado! Mtu anayeombewa kanisani leo msikitini kesho bila shaka na kwa kalumanzira huwa anaombewa!!
 
Back
Top Bottom