The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,649
- 119,973
Ameenda kwenye ufunguzi wa World cup ambao umefanyika Mexico,sasa aende US kufanya nini?Ataishia Mexico US hakanyagi.
Ameenda Mexico kama waziri wa michezo kuiwakilisha nchi,sio kila kitu kinahitaji kuingiza hizo siasa zenu za chuki,
Nyie wanaharakati wa siasa za kubishana kila siku hapa JF kuanzia asubuhi mpaka usiku,hili ni jukwaa la Jamii Sport sio jukwaa la siasa.