Za wavuja jasho ndo nzuri kwa sababu anafanya kazi na analipwa kwa malipo halali ya pesa za TanzaniaAnatumia pesa zetu wavuja jasho au za kwake binafsi?
Na akikanyaga cha moto atakiona ila zaidi kuna wizara naomba asipewe maana sijioni nikiwezana naye asilaniAtaishia Mexico US hakanyagi.
Na akikanyaga cha moto atakiona ila zaidi kuna wizara naomba asipewe maana sijioni nikiwezana naye asilaniAtaishia Mexico US hakanyagi.
Alisema katika watu wanainjoi maisha hapa TZ yeye ni mmoja wao, na ni kweli aisee. Spending well the taxpayers fundsJamaa anakula maisha!
Mkeka ulichanika mkuu.Nachofurahi ni mexico wamenipa hela ya supu leo kibosi
Dogo ulishaenda kuzuru white house. Usisahau kunitag utakapo tutupia mapicha.Aje hapa USA na msichokijua ule utekaji na maujinga yake aliyafanya Kwa raia wa Tanzania angemfanyia mmarekani ndani ya Tanzania kama alivyomfanyia lissu basi CIA wangemnyakua hapo hapo mehiko kama walivyomnyakua Maduro.
Aliwekewa vikwazo kuingia Marekani siyo MexicoHalafu mipumbavu ya kujishoboisha kwa us walisema ukiwekewa vikwazo na mashoga eti huwezi kwenda popote