Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
- Thread starter
- #61
Ataanzia wapi kukimbizana na sembe, thubutu.Madawa ya kulevya hagusi,maana washikaji zake ndo madons ,anaanzaje kukata tawi alilokalia#helumaza

Mkuu hii nchi ina matatizo na changamoto nyingi sijawah kutetea ushoga lakn kwa hili huyu jamaa anatakiwa awe na vipaombele hili jiji lina changoto nying sana aangalie kip ni bora kulko kingine ila kama jambo la ushoga ndio kipaombele chake basi sawaMkiona mtu anasema kuwa achana na mashoga au kuwatetea mjue kuwa huyo ni mdau,Hata humu Jamii forum mnaotetea mashoga mtakuwa wadau tu,Haiwezekani mpaka bunge la jamhuri limepiga marufuku ,serikali inapiga marufuku wewe mr.bigman na carbamazine unasema makonda aaachana nayo sio sahihi nadhani wanaoshabikia lazima watakuwa wadau,Nchi za wenzetu wanaopinga wakikamatwa wanateketezwa kabisa sio kunyongwa tu. Kwa upande mwingine RC makonda nakuunga mkono wewe pambana nao kwa sababu walishakutangazia ubaya Wanaoona tanzania ni shida wahamie nchi husika zinazoruhusu hiyo hali. RC makonda Kuna namna nyingine Bar,guest house zote, Casino na Club zote zifungiwe security and recording camera hii itanaini vitu vingi sana. Security na recording cameras kila mjenzi wa nyumba aweke kwa garama yake then serikali kupitia jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola wasaidie kufanya monitoring. Ivi suali langu ni ratio ya wanawake Tanzania ni kubwa kuliko wanaume,Kwa nini mnaopenda mashoga msioe tu wanawake hata kwa ratio ya 4/1? wake up Tanzanian...Faida yako ni wewe na familia yako ukiteetea ushoga unaidhalilisha familia yako
Hahahaa... Kule kwetu kuna kamsemo kwamba.. 'Wekienda kuruka kianda uaghana na faya'.. Kwa hiyo akitaka kupima kina cha maji kwa miguu??Kuanzisha vita na mashoga ni kujitafutia balaa. Soon the war will cross the borders into the unkown
Ukiondoa mkusanyiko usio kinyume cha sheria, maudhui gani yanaweza kuzipa mamlaka sababu ya msingi ya kuwakamata watu wanaodhaniwa hushiriki mapenzi ya jinsia moja ikiwa hawakuwa wakitenda kinyume cha sheria?sasa kama alibaini mashoga zaidi ya 150 walikaa kikao kwanini asiende kuwakamata??hii nchi inamatatizo mengi sana aachane na hiyo ya mashoga
Huyu jamaa naona hajui kazi kabisa,Dar inachangamoto nyingi sana,na yeye ndio mwenye kazi ya kuzitatua,ajabu leo anawatafuta mashoga waliolaaniwa na Bwana Mungu,huyu jamaa ni shida sana,yaani anakurupuka tu,nafikiri ni ile dhambi ya kumpiga makofi mzee Warioba.Intelijensia ilibaini mashoga 150 wamekaa kikao cha kutaka kumdhuru, ila vyombo vya usalama vimekamata baadhi yao tu, kha! hao walioachwa wameachwa ili waendelee kutoa huduma au? Makonda kuchokoza mashoga ni sawa na kukimbizana na mwendawazimu jalalani, hawa wtu akili zao haziko sawa ujue, umetoa tamko nyamaza acha vyombo vya dola viwakamate kama kuna sheria ya kuwatia hatiani wataenda jela. Dar bado chafu sanaaaa, bora uende kusafisha mitaroni huko kama huna kazi ya kufanya ofisini.
Yaani inabidi Watamzania tujiulize ni nini tulimkosea Mungu,huyu ndio mkuu wa mkoa wa Dar anawafuatilia mashoga,sasa wanapopakuliwa yeye ataweza kujua ni saa ngapi na wapi?,mtu anaweza kuwa ni shoga na ana dalili zote za ushoga,lakini kumtia hatiani ni lazima ukute anaingiliwa kuinyume cha maumbile,na watu hufanya machafu kwa kujificha,wacha Tanzania iendelee kuwa nyuma daima kama viongozi ndio hawa.Hawa ndo viongoziiii wa kutufikisha kwenye serekale ya viwandaaa
Mkuu kuna changamoto zake pia just wait tuone nini kitakachotokea.Hawa watu ni kuwakataa kwa nguvu zote kwenye jamii yetu naungana na makonda asilimia Mia nyinyi wateteeni tu hili swala ata maandiko matakatifu yanalipinga makonda asikate tamaa hawa watu wanaungwa Na watu wengi pambana ni Vita hii
huyu mkuu wa mkoa wa ajabu sana yaani watu aliotangaza kupambana nao na kuhakikisha amewamaliza hapa mjini leo anaogopa na kwenda kukimbilia kushitaki clouds FM kuwa wamepanga kumuangamiza?![]()
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema tangu alipotangaza kuanza kukamatwa kwa mashoga, amebaini kuna mkakati unawaohusisha watu hao zaidi ya 150 kutaka kumwangamiza.
Kauli hiyo aliitoa jana Dar es Salaam baada ya kumaliza mahojiano katika kituo cha redio Clouds FM, ambako alikuwa akifafanua hoja na changamoto mbalimbali za mkoa wake.
Alisema kuwa baada ya kubainika kwa mipango hiyo, mashoga wanane wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa hatua zaidi.
“Lazima watu wajue jitihada na harakati za kusimamia katiba na usawa hapa nchini. Hakuna anayezipenda, vita inakuwa kubwa… Nimebaini kuwa mashoga zaidi ya 150 waliketi katika baa moja Kinondoni wakipanga njama za kunimaliza kwa namna moja ama nyingine, lakini kutokana na taarifa za kiintelijensia, watu kadhaa, wengi wao wakiwa ni mashoga wameshakamatwa,” alisema Makonda.
Katika hatua nyingine, Makonda aliwatolea uvivu watu wanaosambaza ujumbe wa tofauti juu ya maagizo yake katika mitandao ya kijamii, ikiwamo kutengeneza akaunti feki.
“Kwanza wanapaswa kujua kuwa sina akaunti ambayo inaanza na cheo changu, hivyo akaunti zote zangu zimeandikwa kwa jina langu Paul Makonda si vinginevyo, hivyo kila mtu anapaswa kuwa makini na hilo,” alisema Makonda.
Aliweka wazi kuwa kuna agizo batili lililowekwa katika mitandao ya kijamii, akidaiwa kusema kuwa watu wasiokuwa na kazi watakwenda jela, lakini ukweli ni kwamba ameagiza wenyeviti wa Serikali za mtaa kuhakikisha kuwa wanafanya uhakiki wa wakazi wao nyumba kwa nyumba kwa ajili ya usalama wa maeneo wanayoishi.
Aidha Makonda alisisitiza kuwa kutokana na matatizo yaliyopo, kamwe Hatoacha kupambana na mafisadi katika halmashauri zote tatu za mkoa wake, pamoja na wauza unga, wafanyabiashara wa shisha na mashoga.
Chanzo: Mpekuzi
===========
My take:
Sema chochote kwa Mkuu wa Mkoa
pamoja na intelligensia kugundua kikao cha mashoga 150 bado hawakwenda kuwakamata kwanini?![]()

yaani mashoga 150 wanakaa kikao mpaka wanamaliza mkuu wa mkoa anajua wanapofanyia bado asiamrishe kukamatwa. au mimi nawaza vibaya tu?![]()

![]()

Makonda ana maono ya mbali mi naona wazi kabisa kwa record anayoendelea kuifanya kuanzia dc mpaka rc ni wazi kabisa anakoelekea anajiandaa kwa ajili ya urais msishangae baada ya magufuli huyu makonda akapewa tiket ya kugombea urais