Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Mbona huulizi ile operation ya usafi?Makonda alitangaza vita dhidi ya mashoga watu wakapata matumaini
Lakini mpaka leo hii mashoga wanapeta huko mitandaoni na mitaani
tena wakijitangaza live
Hivi makonda kazi yako ni kutafuta kick ama maana haiwezekani wewe kila siku unaibuka na mapya
Hivi ile kampeni dhidi ya mashoga imeishia wapi?
