Makonda: Mashoga wanataka kuniangamiza

Makonda: Mashoga wanataka kuniangamiza

Jamani wanaume wa dar, hivi kweli shoga anaweza kukutishia amani kabisa kabisa?
Mbona mnanishangaza sasa.

Na hao 150 ndio wajumbe wa mkutano mkuu wa mashoga. Chukulia kila shoga mmoja anawawakilisha wenzake 1, 000.
Loh, ni wengi mno.

Acheni serikali ihamie mkoani, dar hapafai tena.
 
Makonda alitangaza vita dhidi ya mashoga watu wakapata matumaini
Lakini mpaka leo hii mashoga wanapeta huko mitandaoni na mitaani
tena wakijitangaza live
Hivi makonda kazi yako ni kutafuta kick ama maana haiwezekani wewe kila siku unaibuka na mapya
Hivi ile kampeni dhidi ya mashoga imeishia wapi?
 
Hebu na wewe toka hapa na vijimada visivyo na mashiko. Eti 'watu walisubiri kwa matumaini sijui mashoga nyoko nyoko nyoko nyoko' we mashoga wanakuwasha nini kama tunavyowashwa sisi wanaume na poda?

Sio kila jambo ni la kukosoakosoa tuuuuu mchana kutwa. RC awe ameanzisha kwa kutafuta kick au kwa dhamira ya dhati, anapaswa kuungwa mkono. Haya madawa ndio yanafanya wengi wenu hamna akili kichwani kwani bangi zinazovutwa next door ndio zimekufanya ulete huu ufukunyuku hapa
 
Kweli unataka tuunge mkono kiki??au ndo hizo bangi unazosema?
 
Usiunge mkono kiki, unga mkono kampeni iliyoanzishwa na mtafuta kiki. Vipi hapo, nani bangi kati yangu na wewe? Huyo aliyeanzisha hii mada ya kipuuzi ye mwenyewe anatafuta kiki
 
Hebu na wewe toka hapa na vijimada visivyo na mashiko. Eti 'watu walisubiri kwa matumaini sijui mashoga nyoko nyoko nyoko nyoko' we mashoga wanakuwasha nini kama tunavyowashwa sisi wanaume na poda?

Sio kila jambo ni la kukosoakosoa tuuuuu mchana kutwa. RC awe ameanzisha kwa kutafuta kick au kwa dhamira ya dhati, anapaswa kuungwa mkono. Haya madawa ndio yanafanya wengi wenu hamna akili kichwani kwani bangi zinazovutwa next door ndio zimekufanya ulete huu ufukunyuku hapa
swali la kwanza ww ni shoga maana hueleweki
 
Usiunge mkono kiki, unga mkono kampeni iliyoanzishwa na mtafuta kiki. Vipi hapo, nani bangi kati yangu na wewe? Huyo aliyeanzisha hii mada ya kipuuzi ye mwenyewe anatafuta kiki
mtoto wa kiume kujjita mwanaume poda kweli?
 
Hebu na wewe toka hapa na vijimada visivyo na mashiko. Eti 'watu walisubiri kwa matumaini sijui mashoga nyoko nyoko nyoko nyoko' we mashoga wanakuwasha nini kama tunavyowashwa sisi wanaume na poda?

Sio kila jambo ni la kukosoakosoa tuuuuu mchana kutwa. RC awe ameanzisha kwa kutafuta kick au kwa dhamira ya dhati, anapaswa kuungwa mkono. Haya madawa ndio yanafanya wengi wenu hamna akili kichwani kwani bangi zinazovutwa next door ndio zimekufanya ulete huu ufukunyuku hapa
Rc akisema wazazi wako wanapenda katerelo utamuunga mkono kiazi wewe.?
 
Kesi za mashoga ni ngumu sana kuzimaliza kwasababu ni tabia na kila siku zinazaliwa
 
Kutokomeza shisha
Walimu kupanda daladala bure
Sasa ni dawa za kulevya.
Wanaosema anatafuta Kiki kama wapo sahihi vile!
Haliishi moja, anaanzisha lingine
 
Rc akisema wazazi wako wanapenda katerelo utamuunga mkono kiazi wewe.?
Sijasema tumuunge mkono kwenye kila jambo, nimesema kwenye hili la madawa ya kulevya. Hayo ya katerero fanyeni kwenye ngazi ya familia, mimi hayanihusu
 
Kutokomeza shisha
Walimu kupanda daladala bure
Sasa ni dawa za kulevya.
Wanaosema anatafuta Kiki kama wapo sahihi vile!
Haliishi moja, anaanzisha lingine

Kweli yako mengi ambayo mwisho haukuwahi kufahamika.... naanza kunusa harufu ya kiki kwenye issue nyingi za mheshimiwa. Hivi zoezi la kupanda miti Dar limefanikiwa kwa kiasi gani? Zoezi la kuhakiki silaha lilimalizika vipi? ....
 
Umesahau zoezi la kuwahamisha omba omba Dar es Salaam.. Baada ya wiki single hii nayo itachuja..
Ameshambiwa list ya wanaofanya biashara ipo ikulu, inapata vumbi tuu kabatini..
 
Back
Top Bottom