Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Kwani mikataba ya hao wafanyakazi inasemaje juu ya nyongeza ya mshahara? Je, wa kwake unasemaje?
Huwa sheria siyo lazma kuifuata Mara nyingi kama kiongoz ana maneno ya busara yanaweza tumika badala ya sheria ,,maana kuwachapa vboko watu wanao dai kuongezwa mshahara ni utovu wa nidhamu na kukosa adabu kwa viongoz wako ,ni bora usubir wakuongeze wao ww ukiwa kmya nazan ni busara sana kukaa kmya mpka mwajir na viongoz wako watakapoona inafaa ww kuongezwa hako kamshahara.
 
Tandika viboko vya kichwani kabisa labda watapata akili ya kudai haki zao maana kwasasa akili imelala.
 
Mimi angenichapa ningempa ngumi za usoni,Bashite ungetoa vyeti nakwambia walahi.
Huwa sheria siyo lazma kuifuata Mara nyingi kama kiongoz ana maneno ya busara yanaweza tumika badala ya sheria ,,maana kuwachapa vboko watu wanao dai kuongezwa mshahara ni utovu wa nidhamu na kukosa adabu kwa viongoz wako ,ni bora usubir wakuongeze wao ww ukiwa kmya nazan ni busara sana kukaa kmya mpka mwajir na viongoz wako watakapoona inafaa ww kuongezwa hako kamshahara.
 
Mimi angenichapa ningempa ngumi za usoni,Bashite ungetoa vyeti nakwambia walahi.
Ahaaha watz sis ni wanafiki sana bashte mm nna hakika angewachapa tena ukiwa umeshka vidole vy a miguu na uktoka hapo unampigia makof kweny hotuba yake ili ijulikane amefanya jambo Jema..!!
 
Kweli madaraka yana 10% ya alcohol kama ile bia zamani "bingwa" .
Kipindi cha Nyerere viongozi waluwaheshimu sana wananchi.
 
Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda oyeeeeeeeeeee
Yaan ww mi sielew waokulipa kwa huu upupu wamelogwa au la, yaan always ni pumba tu hata penye afya na ustawi wa jamii ww ni upo against.

Hiyo nyongeza ya mshahara ipo kikatiba pili wakiongezewa mshahara wanaenda kujenga Angola au?
 
Bora awaambie ukweli, wanadai mishahara huku kazi hawafanyi.

Ni mwendo wa hapa kazi tu, kuna lipi la kushangaza kwa alichoongea!?

Na akitoa mfano, nyie lazima muukuze.

Mtajiju na muache kulalamika juu ya kuzungushwa kwenye ofisi za mji huo, huku akifata njia kuwanyoosha mnamsema.

Makonda oyeeeeeeeeeee
Mumeo siku hizi ni joblesss
 
Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dsm wanapitia kipindi kigumu sana.

Bashite hajui May Mosi ni siku ya kuzungumzia Masuala ya Wafanyakazi sio Wateja wa Wafanyakazi
Bashite hajui kitu yule. Kwa bahati mbaya sana . Tanzania yyte anaweza kuwa.
Sasa analia wanataka kumuua! Hatakufa mwenyewe kwa kihoro.
 
Back
Top Bottom