Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 997
- 2,320
Uhuru wa habari utazidi kuminywa..
Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi..
Maana ya kumteua ni moja tu..
Kumaliza yale yote yaliyobaki...
Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully Sykes akajifunze..
Kwa hiyo tutegemee sana wimbo wa mama this ... Mama that..
Uzuri ni kwamba hata hiyo nafasi hawezi kuridhika nayo..
Maana toka mwanzo sio target yake..
2 Mambo ya Nyakati 10:11
Basi kama baba yangu aliwatwika kongwa zito, mimi nitaongeza kongwa lenu; baba yangu akiwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa nge.!