johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,234
- 142,409
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa kuwa mashirika ya ndege ya kimataifa yamesimamisha safari.
Makonda ameyataja mashiirika hayo kuwa ni pamoja na KLM, Emirates , SAA , KQ, Ethiopian Airlines na Qatar. Amesema kwa mfano ndege iliyokuwa inakuja na abiria 259 kutoka Amsterdam kwa sasa inakuja na abiria 15.
Makonda amemalizia kwa kusema ndio maana serikali haikukurupuka kugunga viwanja kwa sababu inajua watu wana akili na kwahiyo wataacha wenyewe kusafiri bila ya kushurutishwa.
Makonda amesema hayo katika ziara yake ya JNIA jijini Dsm.
Source Channel ten tv!