Mmmhhh… huyo naye!? Na kujitafutia umaalufu kwa njia za kipuuzi, kamailivyokuwa kwa mkubwa wa kaya, naye alilopoka eti anawajua wafanya biashara wamadawa ya kulevya. Hayo aliyasema alipozindua kile alicho kiita Kindoni Cup,kwa kuwaasa vijana waache kutumiwa na watu wanao fanya biashara za madawa yakulevya. Nikajiuliza hii mitanzania miongozi inalogwa na nani!!??
Wewe kama unawafahamuwauza unga na wewe ni mkuu wa wilaya na hujachukua hatua yoyote kwa kuwakamata,unabwabwaja nini kwenye media? Kaa kimya au ujiuzuru, eeeh si umeshindwa njiaya kuwa chukulia hatua kwa mamlaka uliyonayo!?
Kama wewe ni kiongozi unaye juawajibu wako huna haja ya kulalamika sawa na mimi mwananchi wa kawaida, nimawili aidha umeshindwa kuchukua hatua kwa vile walioko juu yako hawatakiuchukue hatua dhidi ya waharifu hivyo dhana ya kulindana inaendelea au utambueumuhimu wa kazi yako na wajibu wa wale unao waongoza hivyo kuamua kuacha kazi,basi, simple! Mnachefua sana….. aaahhhhh!