As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
Nawafahamu vizuri nimeishi nao nimesoma nao, nimefanya kazi nao mpaka sasa baadhi yao nko karibu nao ni Mabahili sana Kilimanjaro hakuta kuja kutokea mtu kama Mengi tena ndio imeshapita hiyo mkuuSasa kwa nn unasema hao jamaa ni Wabahili??
Well nikwambie tu kabila la kwanza kwa ukabila.. wametoka kanda ya ziwa..Tanzania tuna unafiki wa kusema hakuna ukabila, ila ukiingia kwenye taasisi utagundua ukabila upo sana, ila anayetamka ndiye anayeonekana mkabila.
Kipindi hiki cha Magu unaweza kuona ni kwa jinsi gani teuzi ni za kanda moja.
Miaka kadhaa nyuma pia kuna taasisi zililalamikiwa kuajiri wanyakyusa peke yake.
Swala la wachaga huwa wakati mwingine ninalipa excuse ya kwamba jamaa wengi wako vizuri kishule, ni kabila la kwanza Tanzania kuona umuhimu wa elimu. Hivyo hata linapokuja swala la ajira labda ni kwa sababu hiyo.
But, truth be told, Tanzania hii kabila la kwanza kwa ukabila ni Wachaga.
I have vivid examples, tukianza kuyataja makampuni, taasisi ambazo wachaga ndiyo chaguo la kwanza kwenye ajira hatutamaliza.
Mpare hujamuona. Maana kilimajaro hakuna kabilaNawafahamu vizuri nimeishi nao nimesoma nao, nimefanya kazi nao mpaka sasa baadhi yao nko karibu nao ni Mabahili sana Kilimanjaro hakuta kuja kutokea mtu kama Mengi tena ndio imeshapita hiyo mkuu
Well nikwambie tu kabila la kwanza kwa ukabila.. wametoka kanda ya ziwa..
Na hawa ndio walishika nyadhifa nyingi serikalini.. wakasambaa sekta zote..
Wachaga by then walitengwa.. walikuwa kidogo sana.
Na ukitaka mifano hai ninayo. ..tena naweza kukulipia nauli nikutembeze kwa gari langu mwenyewe.. ukajionee kwa macho yako.
Kila kabila linavutia kwake.. ukabila upo na uko alive..
Kuna hawa jamaa wa Kagera akna Rwetangula. Hawa watu sio kabisa. Unakuta taasisi yao kuanzia mlinzi getini mpaka Excutive Director ni wao. Yan humo ndan hawazungumzi tena kiswahilk wala kiingereza,,....ni kikwao.Ukabila upo, na upo alive.
Kuweza ku-establish ni kabila gani linaongoza kwa ukabila inaweza kuwa ngumu, lakini tunakubaliana kwamba hilo tatizo lipo.
Tukiweza kuli-expose tutaweza kulifuta au kulipunguza, ila tukiendelea na unafiki eti halipo, litaendelea kututafuna.
Huko kwenu kuna watu kama mengi??Nawafahamu vizuri nimeishi nao nimesoma nao, nimefanya kazi nao mpaka sasa baadhi yao nko karibu nao ni Mabahili sana Kilimanjaro hakuta kuja kutokea mtu kama Mengi tena ndio imeshapita hiyo mkuu
Kenge ww kama Sio watu ni malaikaMakonda sio mswahili ambae angeweza kufikisha ujumbe kwa njia ambayo isingeleta taflan. Alitakiwa aifikishe indirectly ili watu wakose pa kuanzia wabaki tu wanajadili alimanisha nn na alimlenga nani.
Mfano angesema "Sisi wengne ndugu zake tujifunze kua watoaji kam yeye" n.k n.k
Mtu kama Kikwete Dongo lake lingefika vizuri sana bila kuleta mjadala.
Kiufupi Makonda alikua Sahihi. Wachaga wanatanguliza Pesa mbele na mwanamke wa kichaga ni mtu mbaya kabisa ambae anaweza kukutoa roho mda wowote au ukachunwa na ukaachwa. Wao huthaminiana wao kwa wao. Mifano ni mingi. Wachaga sio watu
Sisi kwetu wanakwambia oa makabila yote unayoyajua Dunian,...wachina, wahindi, wazungu n.k n.k ila asiwe mchaga. Mangi sio mtu aisee
Ukabila upo, na upo alive.
Kuweza ku-establish ni kabila gani linaongoza kwa ukabila inaweza kuwa ngumu, lakini tunakubaliana kwamba hilo tatizo lipo.
Tukiweza kuli-expose tutaweza kulifuta au kulipunguza, ila tukiendelea na unafiki eti halipo, litaendelea kututafuna.
Huko kwenu kuna watu kama mengi??
Lakini ata utani huwa ni kwa watu walio karibu.Kama haupo karibu na wafiwa inakuwa ni kejeli na matusMkuu siyo kunanga, ni desturi kwa watanzania kutaniana hata kwenye misiba, ila sema pengine wachaga hawataniwi au yule si mtani wao.
Mkuu kama umewahi kwenda kwenye misiba ya makabia kama wagogo, wasukuma, wahehe na wengine wengi tu, halafu wakutane na wangoni mbona utakimbia.
Ndo maana nikasema kua inawezekana yule si mtani wao.Lakini ata utani huwa ni kwa watu walio karibu.Kama haupo karibu na wafiwa inakuwa ni kejeli na matus
Hoja yangu ndo maana nikasema, sio kila anayesaidia tutamfahamu ama awe anamiliki vyombo vya habari virushe habari yake.Biseco tutajieni na wengine wa makabila mengine wanaosaidia watu angalau watano watano katika kila hayo makabila mengine yenye roho nzuri na wenye kusaidia watu. Kwa hao wachaga wenye roho mbaya tumemuona huyo 1 marehemu Mengi sasa tuje na upande wa pili kwa kuwa wao ni wema sana huwezi kukosa kuwataja angalau makabila10 tu tuone.