Tanzania tuna unafiki wa kusema hakuna ukabila, ila ukiingia kwenye taasisi utagundua ukabila upo sana, ila anayetamka ndiye anayeonekana mkabila.
Kipindi hiki cha Magu unaweza kuona ni kwa jinsi gani teuzi ni za kanda moja.
Miaka kadhaa nyuma pia kuna taasisi zililalamikiwa kuajiri wanyakyusa peke yake.
Swala la wachaga huwa wakati mwingine ninalipa excuse ya kwamba jamaa wengi wako vizuri kishule, ni kabila la kwanza Tanzania kuona umuhimu wa elimu. Hivyo hata linapokuja swala la ajira labda ni kwa sababu hiyo.
But, truth be told, Tanzania hii kabila la kwanza kwa ukabila ni Wachaga.
I have vivid examples, tukianza kuyataja makampuni, taasisi ambazo wachaga ndiyo chaguo la kwanza kwenye ajira hatutamaliza.