Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Wacha kuongea vitu general, jiongelee wewe, eti " mchaga yoyote.anajua kutoa" huh
Yes wanajua. The difference is kimya kimya sana bila attention yoyote.
Kama unadhani wachaga ni wagumu.. tembelea wapare.
 
Mengi alikuwa Mchaga wa tofauti sana, kwenye kampuni yake hakujawahi kusikika swala la kuajiri kwa kuangalia kabila.

Lakini kiuhalisia kuna taasisi nyingi sana, nyingi sana zimekuwa zikilalamikiwa kuhusu kuajiri kwa kuangalia kabila.
Kuna taasis wamejaa wasukuma.. tena wengi kuliko kabila lingine.. taasis hiii ni muhim sana hapa bongo na ni ngum kutoboa kama hujatoka kanda ya ziwa.
Kuna taasis wamejaa wahaya.. na kutoboa kamansio muhaya hufiki.

Usiwaseme wachaga tu.. kunanmakabila yamejazana sehem moja na wanajulikana.
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Hivi wale watani wao Wapare wanasemaje juu ya hao jamaa huhusu ''Muaghaga'' mzuri/mwema?
 
Kuna taasis wamejaa wasukuma.. tena wengi kuliko kabila lingine.. taasis hiii ni muhim sana hapa bongo na ni ngum kutoboa kama hujatoka kanda ya ziwa.
Kuna taasis wamejaa wahaya.. na kutoboa kamansio muhaya hufiki.
Usiwaseme wachaga tu.. kunanmakabila yamejazana sehem moja na wanajulikana.

Tanzania tuna unafiki wa kusema hakuna ukabila, ila ukiingia kwenye taasisi utagundua ukabila upo sana, ila anayetamka ndiye anayeonekana mkabila.

Kipindi hiki cha Magu unaweza kuona ni kwa jinsi gani teuzi ni za kanda moja.

Miaka kadhaa nyuma pia kuna taasisi zililalamikiwa kuajiri wanyakyusa peke yake.

Swala la wachaga huwa wakati mwingine ninalipa excuse ya kwamba jamaa wengi wako vizuri kishule, ni kabila la kwanza Tanzania kuona umuhimu wa elimu. Hivyo hata linapokuja swala la ajira labda ni kwa sababu hiyo.

But, truth be told, Tanzania hii kabila la kwanza kwa ukabila ni Wachaga.

I have vivid examples, tukianza kuyataja makampuni, taasisi ambazo wachaga ndiyo chaguo la kwanza kwenye ajira hatutamaliza.
 
Huku mtaani kwetu kuna mchaga kaziba njia eti kisa kanunua eneo hilo, tumeishi na kuitumia njia hiyo zaidi ya miaka ishirini na anaweza kujenga nyumba na njia ikabaki bila kuharibu kitu chochote.. ila tu roho mbaya yake anaona tunafaidi kupita pale!
Acha tuendelee kuzunguka hadi mtaa wa nne kuitafuta barabara kuu.
 
Yu wapi Mkwere, mmakonde, msukuma, mdigo, myao, mnyiha, mnyaturu, mkine, mdengereko au mkara aliye na tabia au hulka kaya mzee Mengi? mbona wachaga wanasakamwa namna hii! je hahuna watu wa makabila mengine huko uchagani? ombaomba, wenye matatizo, masikini hawasaidiwi uchagani? je wanafukuzwa huko uchagani? Roho mbaya au nzr na moyo wa kusaidia, wizi, ubadhirifu, unyan'ganyi na ubinafsi binadamu wote wameumbwa navyo havina kabila rangi wala dini.
 
Ni kweli Mengi alikuwa anasaidia sana, tukubali pia yeye ndiye mchaga tuliyekuwa tunamuona sana akisaidia kuliko wachaga wengine sababu anamiliki vyombo vikubwa vya habari vyenye coverage kubwa.

Hawa wachaga wengine tusio wafamu tunawapa labels kwamba 'wabinafsi' nafikiri laiti kama kila mchaga angekuwa anamiliki vyombo vya habari na kila akisaidia taarifa inafikia uma basi nafikiri tungekuwa na takwimu sahihi na tungeongea kwa kujiamini.

Kinyume na haya, hii mizani tuyaoitumia kusema ati fulani ni mchaga bora kuliko wengine kana kwamba tumefanya tafiti kwa wachaga wote duniani ama tunawafahamu wote yatosha kusema haina usahihi.

Binafsi sipendi husisha suala la kusaidia na ukabila, ifike mahali tusilete mitazamo hiyo.
Biseco tutajieni na wengine wa makabila mengine wanaosaidia watu angalau watano watano katika kila hayo makabila mengine yenye roho nzuri na wenye kusaidia watu. Kwa hao wachaga wenye roho mbaya tumemuona huyo 1 marehemu Mengi sasa tuje na upande wa pili kwa kuwa wao ni wema sana huwezi kukosa kuwataja angalau makabila10 tu tuone.
 
Hakuna anaeweza kutaja mkuu.. Bashite ni mpuuzi tuu
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe

huwajui wachaga wee mpumbavu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom