Makonda is almost so damn right!

Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Bashite naona umeamua kuja mwenyewe kabisa sasa.
 
Vijana wa Makonda wapo kazini kusafisha safisha na kuweka hali sawa
 
Kwa hiyo unapingana na Katibu Mkuu wa Chama chenu cha majambazi
 
Ukweli mchungu
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
 
Ni MSUKUMA gani ambaye amewahi kutoa MSAADA wowote sehemu yeyote, Ukiachana na Huyu KILAZA anayetafuta kusifiwa kwa Kuzigawa KODI zetu kidogo kidogo kwa wananchi anapokuwa kwenye Kampeni zake.
 
Ila hili Jambo wamelichukulia vibaya mno

Wamejikweza mno na kuchanganya siasa na ukabila
 
Siyo kweli kabisa, mimi siyo mchga ila Wachaga wanaroho nzuri sana na wana huruma, sema we unatetea kwa kuwa umetumwa na aliyekutuma mwambie umetukuta tuko macho
Ipi hiyo roho nzuri,wachaga hawa ambao hata wao wenywewe kwa wenyewe wana matabaka?

Unawaongelea wachaga hawa wazee wa vikao vya kibinafsi?

Huu ni mwanzo wa wachaga hawa kuporomoka?
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Ungeandika kwa Ngeli tupu mwanzo mwisho
 
Kwahiyo ni mtanzania gani ambaye alikuwa anasaidia zaidi ya Mengi na siyo mchagga?
Sasa utapateje jibu sahihi la swali hii??

Sina hakika ni tafiti gani na kwa namna imefanyika kugundua Mengi ndo Mtanzania pekee ama Mchaga bora aliyekuwa anasaidi sana kuliko wengine.

Nina hakika, tunasema Reginald Mengi sababu ndiye tuliye mfahamu, kama kuna anayefuata maandiko ya biblia Mathayo 6. Kwamba "...ukitoa mkono wa kulia hata wa kushoto usijue" huyu hatuwezi kumjua kwamba yeye alisaidia kidogo ama zaidi ya Marehemu Reginald Mengi.

Yatosha kusema tumpongeze Mengi sababu tunatambua na tunafahamu mchango wake katika kuisaidia jamii ila tusishindanishe ama tusibeze wale ambao hatujui ama hatufahamu mchango wao, maana wengine wakitoa hawasemi wala vyombo vya habari havirushi hewani.
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Mkitaka tuamini haya mnayoyasema tupeni mfano wa tajiri mmoja kutoka kabila tofauti na mchaga ambae ana moyo wa kujitolea kusaidia wengine, angalau aliefikia nusu au robo ya moyo wa kujitolea wa Dr. Mengi.
 
Ata kama yupo sahihi ni kwa nini sasa akawanange wachaga msibani? Au kuna utani wa jadi kati ya wachaga na waskuma?
Mkuu siyo kunanga, ni desturi kwa watanzania kutaniana hata kwenye misiba, ila sema pengine wachaga hawataniwi au yule si mtani wao.

Mkuu kama umewahi kwenda kwenye misiba ya makabia kama wagogo, wasukuma, wahehe na wengine wengi tu, halafu wakutane na wangoni mbona utakimbia.
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.

Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani

Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi

Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu

Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
KIJANA UNATAKA USAIDIWE NA WACHAGA ILI IWEJE, WE HUNA NDUGU ZAKO, MENGI ALIWASAIDIA WENGINE MAANA ALISHAWATOA NDUGU ZAKE, HALAFU UJUE HATA WACHAGA HAWASAIDIA HIVI HIVI HATA KAMA NI NDUGU LAZIMA UFANYE KAZI KWA BIDII
 
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
we are JEWS of Africa
 
Aibu yako na akili za aina ya bashite.Mengi huenda alikuwa anatoa ziada,afu alikuwa na maarufu habari zake kutolewa na vyombo vya habari.Hujui wengine wnachofanya/walichofanya bila kuandikwa mfano Ndesamuro,Magi Mariale ....Jingine kabla ya ww na bashite mnunuzi wa vyeti kuchangia hili la wachaga ni je wachaga ndo wenye pesa peke yao? kabila lake Sukuma ndo kabila kubwa kuliko yote Tz tuanzie hapo otherwise before you point a finger at me make sure your hands are clean.
 
Makonda aliongea maneno sahihi sana tatizo lilikuwa ni Mazingira Mfano wake ukutane Ndugai kisha umpe ripoti ya CAG unategemea nini?
 
Wachaga na Wapare ni Wabahili sana jamani hili liko wazi kwa watu ambao wamewahi kuuishi karibu na watu wa makabila haya
 
Acha uongo taasisi gani imeanzishwa na mchaga halafu iwe ya umma
We kenge Kwel NGO ianzishwe halafu iwe ya umma una akili ww?
Uliza world vision aliye ileta Tanzania ni nan??
Ulienda shule kusomea ujinga???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom