Ata kama yupo sahihi ni kwa nini sasa akawanange wachaga msibani? Au kuna utani wa jadi kati ya wachaga na waskuma?Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Ni kweli Mengi alikuwa anasaidia sana, tukubali pia yeye ndiye mchaga tuliyekuwa tunamuona sana akisaidia kuliko wachaga wengine sababu anamiliki vyombo vikubwa vya habari vyenye coverage kubwa.Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Kwahiyo ni mtanzania gani ambaye alikuwa anasaidia zaidi ya Mengi na siyo mchagga?Ni kweli Mengi alikuwa anasaidia sana, tukubali pia yeye ndiye mchaga tuliyekuwa tunamuona sana akisaidia kuliko wachaga wengine sababu anamiliki vyombo vikubwa vya habari vyenye coverage kubwa.
Hawa wachaga wengine tusio wafamu tunawapa labels kwamba 'wabinafsi' nafikiri laiti kama kila mchaga angekuwa anamiliki vyombo vya habari na kila akisaidia taarifa inafikia uma basi nafikiri tungekuwa na takwimu sahihi na tungeongea kwa kujiamini.
Kinyume na haya, hii mizani tuyaoitumia kusema ati fulani ni mchaga bora kuliko wengine kana kwamba tumefanya tafiti kwa wachaga wote duniani ama tunawafahamu wote yatosha kusema haina usahihi.
Binafsi sipendi husisha suala la kusaidia na ukabila, ifike mahali tusilete mitazamo hiyo.
Hayuko sahihi, no grey area there!Ata kama yupo sahihi ni kwa nini sasa akawanange wachaga msibani? Au kuna utani wa jadi kati ya wachaga na waskuma?
Sawa Wachagga hawawezi kusaidia mtu na ni wabinafsi. Kabila gani ambalo wao ni watoaji sana na siyo wabinafsi? Nipe mfano wametoa misaada gani na kwa nani?Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Mangi Mengi alikuwa anaji expose,kwahiyo wachaga wote wakitaka kutoa misaada Waite waandishi was habar? Au wapost insta?Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe si yeyote kwake, mara zote wamekuwa ni watu wabinafsi sana na kuutukuza mno ukaskazini. Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani
Mzee Mengi alikuwa ni extraordinary mchaga, hakuwa mchaga wa kawaida wa kukumbuka watu wengine kirahisi, mzee wa watu akijitoa hasa, Mungu amrehemu kwa kweli. Tunaishi na wachaga ni watu wanaoabudu sana matabaka,Kwa hiyo mimi sioni cha ajabu Makonda alichoongea kinyume chake ingekuwa ubafiki kuwasifia wachaga hawa ambao tunawajua sisi
Mchaga mchaga mchaga aisee kwa kweli mnisamehe tu wachaga ninyi kwa kweli mjifunze kuthamini watu wengine kama nyie mnavyithaminiwa mnapoenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini humu kwa kupokewa vyema na wenyeji wenu
Makonda yu sahihi kabisa hata kama kuna nyakati amekuwa akiropoka ila kwa hili acha tu ukweli usemwe
Waha na wakinga wanacomment wapi?Akuna watu wachoyo na wabahili kama wachaga na wapare.
Ukweli ni kwamba kitendo tu cha kutaja Kabila-Kwa kiongozi wa serikali,tayari ni Dosari kubwa sana!Mwalimu hakuwahi kufikiria kwamba iko siku watanzania wataanza kuchambua makabila!"Wachaga ni watu wa dharau sana na huwaona watu wengine ni wazembe na hawastahili mafanikio ndio maana hupenda kuinuana wao wenyewe tu ila ni ngumu kuzingatia watu wa mahali pengine mbali na uchagani*
Na wewe huko kwenu inuaneni pia,, acha mdomo mdomo hapa.