Mimi siwezi kabisa kumuamini huyu jamaa, hivyo siwezi kuwa fooled kirahisi hivyo.Mwnaharakati ‘huru ‘ Musiba kawachota Wazito wa kufanya tafakuri Mujarab wanadhan hapo anamponda Makonda
Anachojaribu ni kuonesha kuwa yeye Hana upande yuko neutral ndio sababu hata ‘Makonda aliwahi kumkosoa dhidi ya freeman Mbowe’
Hakuna la zaid analofanya
Mbona askofu wenu shoooo....ga kamwita makonda chatu,kifutu humulalamikii?Linalosemwa na wengi linasemwa na Mungu.
Makonda jishushe uwe kama binadamu wenzako.
Utambue kuwa Piere Liquidi ni Kiumbe wa Mungu kama wewe.
Na kunawakati wewe ulikuwa kama huyo Liquidi.
Unafikia mahali unamwita binadamu mwenzako mtu wa hovyo hovyo.
Unajua kwanini Mungu alimwumba Liquidi ?
Makonda unadharau iliyopitiliza sana.
Bado una muda wa kujirekebisha, fanya hivyo.
Ukibadilika watu watakupenda tena.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Kwa mfano matendo na mavazi ya kisela mle kanisani yalimdhalilisha sana MajaliwaNdiyo maana hana heshima kwa kaka Majaliwa kabisa.
Hata alipofika madhabahuni alishindwa kui acknowledge itifaki na kumsalimia Waziri MkuuKwa mfano matendo na mavazi ya kisela mle kanisani yalimdhalilisha sana Majaliwa
ameambiwa na mkubwa wake kwamba yeye ndiye anayemfuatia kwa madaraka , hawa wengine ni maboya tuHata alipofika madhabahuni alishindwa kui acknowledge itifaki na kumsalimia Waziri Mkuu
Ni kweli yeye ni naibu raisameambiwa na mkubwa wake kwamba yeye ndiye anayemfuatia kwa madaraka , hawa wengine ni maboya tu
Anajua SIRI KUBWA SANA ya aliyemteua hivyo tutegemee ipo siku atamgeuka hata mteule wakeHuyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Kodi ya yale makontena yake alilipa? Yaliishia wapi? Mil 147 alizopewa na Marehemu Mzee Mengi kulipia buffet la maaskofu ali-declare kwa Tume ya Maadili?Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Kila zama na kitabu chake lakiniNdiyo maana hana heshima kwa kaka Majaliwa kabisa.
Mkuu umeua, duh!Bashite ana kiburi cha tako, akiliona tako lilivyo kuuuubwa anaamini ana maisha marefu sana,
Kuna MTU alikuwa na tako kama Agness Masogange??? Yupo wapi SASA??
Tako lililoumuka lisikupe jeuri ukajiona Una uhai wa kudumu!
Huwa zinarudi halafu zinatoka tena.Musiba sometimes kumbe zimo
Huyu ana mbip mwenye mkoa wake naonaHuwa zinarudi halafu zinatoka tena.
aliyeifunga mbeleko ni kiziwi na kwakuwa ni kiziwi ni kipofu pia.Mbeleko hii labda ipotee na mwenye mbeleko bila hivyo mtasubiri sana. Bashite ni untouchable .
huwezi kuona kitu kwakuwa wewe ni zao la wezi wa mitihani na mafisadi wadogowadogoHakuna kitu hapa
Hata ile vita ya madawa ya kulevya mbona miaka yote inapigwa kimya kimya?aliyeifunga mbeleko ni kiziwi na kwakuwa ni kiziwi ni kipofu pia.
vyeti vyenye utata.
uvamizi wa clouds
kuanzisha operation ambazo hazipimiki mf. ile ya wajane na waliotelekezwa unapimaje kama imefanikiwa au la? mambo ya ustawi yanafanywa na lihuni tena barabarani without any confidentiality.
kuwabagua watu kwa makabila na kuleta kiburi mazabahuni
yote yamepita hata lile la kuingiza makontena nalo likapita