Makonda hawezi kudumu lazima aondolewe tu

Makonda hawezi kudumu lazima aondolewe tu

It is the best option he has na ameshaanza unajua keshaanza kujiona mjinga maana anona kabisa kila ana deal na watu badala ya mambo muhimu. Ma kilichotekea Taifa pia kime mu alert. Hata jinsi waandishi wa habari walishikamana na Nape pia imemtisha sana. Kwakua anasoma mitandaoni pia anaona maswali ya.msingi ambayo tunajiuliza kuhusu utwala wake.
Lile tukio la Uwanja wa Taifa bila shaka limewashitua sana.Waendelee tu kupuuza maoni ya watu watavuna wanachopanda sasa wakati ukifika.
 
Ni sawa mcheza ngoma aliyezoea kushangiliwa awapo jukwaani. Siku washangiliaji wakisusa atatamani hata kujinyonga. Labda si binadamu wa kawaida. Kumsaidia ni bora hata kumpunzisha kwa muda vinginevyo ni kama kumsakizia mbwa.
 
Tusichoke kuwaombea viongozi tunaowapa dhamana...
Tusiache kuliombea taifa..
wapo viongozi wamepata uongozi kwa nguvu za giza tusipoomba nguvu ya mwenyezi Mungu itamalaki ni rahisi sana kwa viongozi hawa kupofusha fikra za viongozi wenye kutenda na kunena kwa maslahi ya wananchi...
 
Kimsingi ni kwamba amekwishang'oka , kinachoangaliwa hapa ni atokee mlango wa mbele au wa nyuma .
 
Yaani hasira za watu zipo kwa bashite tu na akitolewa mbona maisha yataenda ila sio kumweka kihiyo ukuu wa mkoa wakati vijana na elimu zao halali wapo mtaani
 
Tumpongeze Mkuu kwa kuamuru Ney aachiwe! Hatuna ugomvi naye! Ila Bashite naye aachwe aucheze mziki wa kutumia cheti fake! Ikitokea hivyo mioyo ya wengi itamrudia mkuu! Lakini kwa sasa aelewe kuwa yuko peke yake! Hata wale anaodhani wanakubaliana naye kiuhalisia ni kuwa hiyo ni namna tu ya kulinda nafasi zao, lakini mioyo yao iko mbali sana!
 
Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.

Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.

Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.

Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa taarifa ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Soma habari hiyo kupitia hii link hapa chini:

TCRA: Watumiaji wa simu nchini wafikia milioni 40

Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.

Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.

Wazungu wanasema:

"If you can't beat them,join them"

Soon he will join us.
DAY DREAMER ! KEEP ON DREAMING.
 
Sizonje itakua amesoma ule uzi wa Tanzania nchi ya maajabu mtu kavamia kituo cha redio yupo uraiani sasa hivi, mtu katishiwa bastola mtiashia bastola yupo uraiani lakini mtu kaimba wimbo wameusikia wimbo saa ngapi.?
 
Ningeshukuru sana kama angemtumbua bashite kwani yule ndiye aliyesababisha rais achukiwe kwani udhaifu wa bashite umekuwa wazi. Leo nimeona amekuwa mstaarabu na amesoma alama za nyakati kwa kumuachia huru ney kwani kuna watu walikuwa wanatafuta kiki pale. Basi atuondolee bashite
 
Back
Top Bottom