Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,891
Akimtumbua Bashite ukweli sitafikiria kwasababu ya hi mitandao, nafsi itakua inamsuta kuhusu Nape, uwepo wa yeye pale jumba jeupe ni jitihada za Nape, ukiorodhesha wana ccm walau 5 waliibadiri sana ccm then majina ya Nape na Kinana yatakua juu but hata ukiweka majina ya wana ccm 100 walioifanya ipigiwe walau KURA laki moja nina hakika jina la Makonda halitakuwepo, na hi si kwasababu tunamchukia au laa, hakua na mchango wowote zaidi ya kuifanya ccm igawanyike vipande.