Makonda hawezi kudumu lazima aondolewe tu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,857
Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.

Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.

Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.

Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa taarifa ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Soma habari hiyo kupitia hii link hapa chini:

TCRA: Watumiaji wa simu nchini wafikia milioni 40

Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.

Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.

Wazungu wanasema:

"If you can't beat them,join them"

Soon he will join us.
 
Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.

Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.

Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.

Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa ripoti ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.

Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.

Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.

"If you can't beat them,jion them"

Soon he will jion us.
Unaakili sana, lazima he will join us. Hana option, ni lazima ukikombe kwetu ili 2020 awe salama.
 
Rais yeyote mwenye uchungu na nchi yake na akiwa anaongoza nchi iliyojaa wapiga dili lazima tu akose furaha. Nchi ambayo Leo wanasema wa mitego aachiwe, kesho watataka kuandamana kwanini ameachiwa
 
Rais yeyote mwenye uchungu na nchi yake na akiwa anaongoza nchi iliyojaa wapiga dili lazima tu akose furaha. Nchi ambayo Leo wanasema wa mitego aachiwe, kesho watataka kuandamana kwanini ameachiwa

Mpiga dili namba moja si bashite au ??
 
Ameshaana kurudi,si unaona kasha ufyata kwa Ney!?
Mhe Rais ni jembe,isipokuwa madhaifu ya hapa na pale!
Aache kukumbatia uzembe kama huu wa Makonda!
Na kama sasa alivyoiua kiki ya Ney,kwa kukubali "kuikumbatia miimba ya nyuki wa wimbo wa WAPO"!
Ifike kipindi ajiongeze!
Atufungulie bunge letu,ili mambo yaende!
 
Kweli,ni ngumu kurudi kwenye hile hari ya utendaji wake wa awali. Ni vizuri akajiuzulu na kuendelea na maisha yake nje ya ulingo wa kisiasa.
Kujiuzulu hawezi bali ataachana na habari ya kutumia muda wake ku-deal na dissidents wake na kupuuza mambo madogo madogo.
 
Kawa kama amenyeshewa,na future yake ilishavurugika tayari.Hata kama mkulu anambeba lkn siku zama za mkulu zukipita zitapita naye forever.....
 
Na hasa baada ya Magu kutengua maamuzi ya Jeshi la Polisi la kumkamata msanii Ney wa Mitego na la Basata kuupiga marufuku mwimbo wa Wapo ambao unamchana Live Bashite kwa kutumia vyeti feki.......

Hakika kwa sasa siku za Bosi wa jiji la Dar kuendelea kubaki madarakani hivi sasa zinaanza kuhesabika!
 
Ameshaana kurudi,si unaona kasha ufyata kwa Ney!?
Mhe Rais ni jembe,isipokuwa madhaifu ya hapa na pale!
Aache kukumbatia uzembe kama huu wa Makonda!
Na kama sasa alivyoiua kiki ya Ney,kwa kukubali "kuikumbatia miimba ya nyuki wa wimbo wa WAPO"!
Ifike kipindi ajiongeze!
Atufungulie bunge letu,ili mambo yaende!
Tatizo hamchelewi kuanza maandamano yasiyokuwa na kikomo!! Hahahaha
 
sem2708 ifike kipindi ujiongeze,kuwa kada haimanishi uwe na akili ya ndezi!
Punguza kutetea ujuha!
Rais inabidi aambiwe ukweli ili abadirike kwa mema!
Halafu wewe unakuja jf,kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Back
Top Bottom