Una tatizo la kufikiri jisogeze hospitali kwa matibabu. Unavyoamini habari ya mitandaoni na waandishi 'hewa' (ID fake) unadhani na Rais naye anatawala kwa mitandao!Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.
Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.
Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.
Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa taarifa ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.
Soma habari hiyo kupitia hii link hapa chini:
TCRA: Watumiaji wa simu nchini wafikia milioni 40
Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.
Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.
Wazungu wanasema:
"If you can't beat them,join them"
Soon he will join us.
Wewe bado unaishi katika zama za mawe.Una tatizo la kufikiri jisogeze hospitali kwa matibabu. Unavyoamini habari ya mitandaoni na waandishi 'hewa' (ID fake) unadhani na Rais naye anatawala kwa mitandao!
that trueSiku zote si rahisi kuishinda nguvu ya Umma uking'ang'ania jiandae kuumia.
It is the best option he has na ameshaanza unajua keshaanza kujiona mjinga maana anona kabisa kila ana deal na watu badala ya mambo muhimu. Ma kilichotekea Taifa pia kime mu alert. Hata jinsi waandishi wa habari walishikamana na Nape pia imemtisha sana. Kwakua anasoma mitandaoni pia anaona maswali ya.msingi ambayo tunajiuliza kuhusu utwala wake.Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.
Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.
Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.
Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa taarifa ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.
Soma habari hiyo kupitia hii link hapa chini:
TCRA: Watumiaji wa simu nchini wafikia milioni 40
Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.
Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.
Wazungu wanasema:
"If you can't beat them,join them"
Soon he will join us.
Zilipendwa hizi, wenzako wako bize na stori ya rais na Ney.Upepo unavuma vibaya dhidi ya mkulu kuhusiana na uongozi wake and perhaps he is the most unhappy citizen so far.
Hata Lissu alipokuwa anaohijiwa katika kitu kimoja siku chache zilizopita alisema wazi kabisa mh.anaonekana hana raha /amechoka.
Katika huu ulimwengu wa mitando ni bigumu sana ku-controll hisia za watu na hivi sasa watu wengi wanapata habari kupitia mitandao kuliko hata vyombo rasimi vya habari kwahiyo mtu makini hawezi kupuunza maoni ya watu mitandaoni.
Kwa taarifa tu ni kuwa hivi sasa Tanzania ina watu wanaotumia simu za mikononi wanaofikia milioni 40 kwa mujibu wa taarifa ya TCRA iliyotolewa jana na habari hiyo kuripotiwa katika gazeti la Nipashe la siku ya leo.
Soma habari hiyo kupitia hii link hapa chini:
TCRA: Watumiaji wa simu nchini wafikia milioni 40
Nawaabieni Bashite hatadumu ofisini.
Mkulu sasa kashituka na kaamua kujiongeza.
Wazungu wanasema:
"If you can't beat them,join them"
Soon he will join us.
Wewe bado unaishi katika zama za mawe.
Pole sana.
Dingi kashasandaLeo Bashite ataenda kumlilia Dady kwa nini ameruhusu hii nyimbo ya Nay wa Mitego isikilizwe.