Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Makonda apiga marufuku maandamano Dar

Hatutegemei matamko tofauti ya makada wa ccm yatakayopingana na bos wao.
 
Yumurudi kwa wale wale 'kalal balozi muafaka.fikra za mwenyeki zidumu hata akisema leo nileteeni wake zenu .basi watasema ndio tunaunga mkono .ivi yule mzee aliesigana katiba pole jangwani baadae akafungwa kwa nini chadema wasitafute akafungue kesi ya madai .maana kwa sasa kama angesigana katiba naona ata asingekamatwa maana sasa inchi inaongozwa kwa matamko na utashi tu
 
Makonda?????? Mimi kumsikiliza mtu wa aina hii lazima nami niwe mwehu
 
sheria IPI inamruhusu kufanya hivyo, acha upuuzi


Kamshitaki basi kama unaona Raisi wa JMTZ amevunja Sheria za JMTZ, kwa nini mnabwabwaja hapa kutwa nzima? Mahakama ziko wazi, Wanasheria mnao, kwa nini hamuendi?
 
Hakuna hata sababu ya kum jadili aliye fadhili wa kwa kumnasa vibao warioba hajiwezi kabisa
 
Maisha ya unafki,uoga na kujipendekeza huwa yana gharama zake
 
kwahiyo hata agizo la mhe. rais kwamba mbunge kwenye jimbo lake anaruhusiwa
hili nalo kalifutilia mbali...kijana anakosa nidhamu na heshima kwa aliyemuweka
 
Kwanini wanasubiri mwezi wa tisa waamdamane Hata sasa.. Mimi sijaribiwi... Kwa sauti ya kibabe..
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda amepiga marufuku maandamano ndani ya mkoa wa Dar es Salaam. Makonda amesema kuwa kufuatia kauli ya Rais,yeye anaitekeleza.

Makonda amesema kuwa kauli ya Rais ni moja ya mambo aliyoapa kuyatii na kuyatenda. Amesema kuwa hataruhusu wala kukubali kufanyika maandamano yakifanyika mkoani mwake.
Makonda ameanza...

Maoni yangu: Kama Mwanasheria sifurahishwi na kuwekwa kando kwa Sheria zinazoruhusu na kuratibu mikutano ya kisiasa na maandamano. Serikali naiomba ifanye tathmini njema juu ya sakata hili.Where are we heading?

Chanzo: Habari,Channel Ten usiku huu
Who they think they are??? Nchi hii ina katiba, sheria na kanuni well established... yaani?? Umekula ugali umeshiba unaanza kusema ya kwako.. Haikubaliki... Wanazitaka vurugu watapata vurugu
 
Sasa andamaneni, sisi tunataka wawajibike siyo porojo za UKUTA na cheap popularity.
 
Kamshitaki basi kama unaona Raisi wa JMTZ amevunja Sheria za JMTZ, kwa nini mnabwabwaja hapa kutwa nzima? Mahakama ziko wazi, Wanasheria mnao, kwa nini hamuendi?
Acha ujinga wewe, hata katiba haujui inasemaje kuhusu kumshtaki rais?
 
Acha ujinga wewe, hata katiba haujui inasemaje kuhusu kumshtaki rais?


Sasa kama hauwezi kumshitaka Raisi wa JMTZ ni kwa nini unasema kavunja Sheria? Hivi huko Chuoni mnaelewa mnachofundishwa au mnakariri tu? Kama huwezi kumshitaki mtu ina maana hiyo Sheria haimuhusu ni rahisi kihivyo tu!
 
Si elewi tuna ongozwa na katiba au Matamko? Hivi katiba mpya ndio basi tena au?
 
Hii Nchi kwa sehemu kumbe ni Mali ya Viongozi flani ...!!!.
 
Back
Top Bottom