Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,622
- 3,520
Unasema Chama halafu unamuongelea Makonda pekee. Makonda si Chama. Yaani wapambe mnakosa hekima ambayo yeye Makonda anayo. Yeye mwenyewe anasema Chama kimeelekeza hiyo ina maana hata uamuzi wa kumuondoa Bashe ikibidi utakuwa ni wa vikao na sio wa mtu. Makonda amewekwa hapo kupitia maamuzi ya vikao. Heshimuni Taasisi yenye vikao rasmi na katiba. Ingekuwa chama ni mtu kuna wengi wangekuwa hawako CCM kwasababu tu walitofautiana na kina fulani.Chama kina nguvu kuliko serikali makonda ndie boss wa mawaziri na wakuu wa mikoa,wakuu wa vyombo vyote vya ulinzi na wote wanaoteuliwa na raisi,bashe asilete ujuaji labda kama kachoka kula Kodi zetu akicheza atamfata Ally Hapi shambani