Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,557
- 3,002
Katiba ya Tanzania inatamka na kutambua kuwa Rais ndiye mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu na mtendaji mkuu wa Serikali yeye ni mwenye mamlaka makubwa katika nchi hii anaweza kuwa symbolic leader(queen) kulingana na katiba yetu.
Inasikitisha sana kuona mtu wa kwenye chama chako ambaye pia amekuajiri unamkebehi na kumfanyia dhihaka pamoja na matusi hivi hata kama unajiona wewe ndiyo baba ako,babu au bibi yako amemuweka rais kwenye hicho kiti haimaanishi kumtukana YEYE umeitukana mamlaka aliyopewa na umewatukana watanzania wote.
Hili la Makonda siyo kwamba jamaa karopoka hapana ila toka Rais alipoingia madarakani naye alituma ujumbe wengi wanafikiria kuhusu kina bashiru ila ukweli lipo kundi jengine ambalo lipo against na MAMA hivyo nadhani kuna watu watajifanya kumsema Makonda ila ukweli usemwe jamaa yupo sahihi.
NAWASILISHA.