Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,492
2,000
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.
Mimi kwamara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke.
Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Makondo yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae. Kwa sisi tunaoishi dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.
Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.
Chuo cha Ushirika Moshi ni Kimbilio la Failures na Vilaza.
Afadhali hata ya UDOM
 
darubin ya mbao

JF-Expert Member
Aug 3, 2016
469
1,000

Acha kumpamba huyo kiazi mbatata, kama ni smart kama unavyompamba kwanini atafute kazi ebu ang'are nje ya mfumo ndio bandiko lako litakua na mashiko.
 
naiman64

JF-Expert Member
Nov 22, 2013
5,517
2,000
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.
Mimi kwamara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke.
Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Makondo yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae. Kwa sisi tunaoishi dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.
Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.
Mmeanza
 
kibokoni

Senior Member
May 3, 2020
116
250

Kwahiyo elimu ya 4m4 kuna semista??
 
mbenge

JF-Expert Member
May 15, 2019
1,236

Mkuu, huo wasifu alionijengea Makonda ndani ya nchi na CCM, ni kwa sababu vyote vinaongozwa na mtu mmoja. Kwa hiyo kwa kifupi anakubalika mbele yake, pengine ili kuweza kutimiza malengo fulani.

Mtu ambaye haruhusiwi kwenda Marekani, mtu ambaye anahusishwa na tukio lile la Mzee Warioba kipindi kile cha mchakato wa rasimu ya katiba, mtu mtata ambaye anauhishwa kiana na matukio ya watu wasiojulikana, mtu ambaye aliitwa bungeni kuhojiwa na kamati ya haki na maadili, mtu aliyeingiza nchini makasha yenye thamani za ndani kule bandarini yaliyogubikwa na utata mwingi n.k.

Ni mtu asiyemtambua vyema mtu huyu ndiye atapata ujasiri wa kupigia debe juu ya wasifu wake. Ukitaka kutambua wasifu wake wa kweli, basi itakuwa ni ktk kipindi ambacho Mkulu hayupo tena ofisini na mwenye kubeba mamlaka ya uraisi. Hapo ndipo utapata kuyaona madudu yake yalijificha ndani ya ukiritimba wa uongozi wa sasa.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,733
2,000
Ungetulia na kwenda kimya kimya kuomba DED wa manispaa .....shida yako ni njaa $$ RC hauna hela za kuchezea ulizoea kuwapora wafanya biashara sasa naona game sio ....
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
92,327
2,000
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi

Eti cv, labda za kuivamia clouds
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.

Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke. Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi. Makonda yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae.

Kwa sisi tunaoishi Dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.

Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
92,327
2,000
Labda hazina ya nyumbani kwako

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom