Makonda amejijengea CV kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi

Nakuunga mkono kwa 100%
WTF, yaani mtu katoka UVCCM, kawa DC na baadae kawa RC tu, hana good academic background, hajawahi shika any challenging political position, hio CV inatoka wapi? Kama sio kulindwa na mamlaka zilizomteua Makonda alitakiwa kufukuzwa kazi 4yrs ago.
 
Jamani kuweni wapole, huyu jamaa namfahamu, jamaa ametoka mbali sana na anakoelekea ni mbali, hivyo kuweni na hikima sana mnapo mjadili.

Mimi kwa mara ya kwanza nilikutana naye Ushirika Moshi na kuna semista tulikaa chumba kimoja hivyo nimeunganisha story yote na hadi hapa nimeona mnamjadili nje sana huyu jamaa.

Na wengi wetu hatujui ugumu wa kazi ya ukuu wa mkoa, tena mkoa kama Mzizima, tena ukiwa kiongozi kama Mkaonda anayeibua matukio mazito mazito ambayo yakigonga katika jamii yalikuwa yanamludia vipande vipande kama mawe yanamgonga gonga mwilini na yeye ananyama hivyo alikuwa anaumia.

Kazi ya ukuu wa mkoa mjue haina mafungu labda mkurugenzi akupe krosi au pasi ndiyo utoke. Jamani ukiwa mkuu wa mkoa siyo kama zamani, kwani zamani ulikuwa na uhakika miaka yote 10 kuwa ofisini labda ubadilishwe mkoa au kupata cheo zaidi lakini kwa sasa ni tofauti hadi siku ikiisha na jua limezama ndiyo unapumua.
Lingine lazima mjue na kuamini wajumbe siyo watu..

Makonda amejijenge sivii kubwa ndani ya nchi na ndani ya Chama cha Mapinduzi. Makonda yupo kama buludoza hanaga woga, kama noma yeye anakubaligi iwe noma, anaujasiri mkubwa wakumvaa mtu hata kama ninyi mnamuona kwenu anaheshma yeye anampandia ilimladi akiamini huyo mtu amekosea anauwezo wa kusema nae.

Kwa sisi tunaoishi Dar tutakubali kuwa alikuwa anatuchangamsha sana kama tunafanya mazoezi bila kujua hapa mjini.

Hivyo Makonda ni hazina kubwa kwa taifa kwani kutereza siyo kuanguka.

Naona Lemutuz Mobenga umekuja na ID Mpya
 
Makonda ndio Nani??
 
Abuni mradi sasa ajiajiri,au uhazina wake upo kwenye nafasi za kupewa tu Kama yatima?
 
Wewe huwezi kumsafisha huyo, atakapofikishwa mahakamani ndio utaelewa ila kwa sasa kuleni hela zake tu.

Muda unakuja mtakuja kumkana tena atakapokuwa kizimbani akipigwa mvua mwenyewe, kwa sasa mnaweza kuendelea kumpelekea maji chooni asafishie matako. No one can defeat justice.
 
Back
Top Bottom