Makonda akiombewa dua na Mashehe

Sijui kama watu wanaelewa Kitu kinaitwa Madhabahu......
 
Huyu Makonda atawafanya mtage yai la MBUNI Mwaka huu kudadadeki
 
mmmmmh ukimuona mtu anatumia sana dini kujisafisha ujue ni mnafiki wa kutupwa... na hao mashekhe akili ziko kwenye camera..wanamzuga na dua za uongo na kweli.. shekhe wanaojitambua hawawezi kukubali kutumika kijinga jinga hv.. kisa kujengewa ofisi sijui.. !!!
 
Hawa wanapendaga ubwabwa tu na nyama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…