Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,718
- 5,087
Kakamata wangapi hadi sasa na uchumi umedorora kwa asilimia ngapi?Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha za mabenki, ambazo kimsingi ni za wananchi, zinaweza zisilipwe, kwa kuwa wanaozikusanya wanakamatwa na Mkuu wa Mkoa, hivyo wakopaji watakuwa wanakula bata wakati mabenki yanafilisika.
Baada ya hapo fedha zetu zitakuwa salama katika mabenki?