GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,567
therefore??????Unaweza kumfata hotelini kumbe shoga mbabe akkulazmishia umdo
therefore??????Unaweza kumfata hotelini kumbe shoga mbabe akkulazmishia umdo
Mashoga wengi hawapo uswazi bali maeneo ya wakubwa ndo mabwabwa wengi.Aende kwenye kitchen party hasa zile za uswahilini
Utamjuaje mtu kuwa ni shoga kwa kumkuta hotelini? Huyo dogo anachemka tu,Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana
Kwanini asianze na yule wa take one ya zamaradi maneno kuntuMkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana
wamekuathiri nini mpaka sasa?wa insta ndio weng sanaa
yule kafanya uhalifu gani??Kwanini asianze na yule wa take one ya zamaradi maneno kuntu
Aanzie kwenye kituo kilichofanya mahojiano na hao watu ndiyo watamuelekeza walipoDar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza operesheni ya kuwasaka mashoga jijini humo.
Makonda amesema vitendo hivyo vimeanza kuongezeka jijini humo na lengo lake ni kuwaokoa watoto wasiige mambo hayo yanayoonekana kukua kwa kasi.
Bosi huyo wa mkoa amesema, “hili ni tatizo linalokua kwa kasi sitaruhusu liendelee katika mkoa wangu, nitawasaka popote walipo”.
“Hata hapa bandari wanaweza kuwapo mashoga wafichueni, mkiona mtu ana tabia za ajabu ajabu mfichueni, tutashughulika nao”.
Nini maoni yako kuhusu huu msako Makonda anaotaka kuuanzisha
Hawa watu wanajulikana walipo..Ila akiwakamata atawafanyaje?, Hapo bado sijaelewa nn anataka kufanyaAanzie kwenye kituo kilichofanya mahojiano na hao watu ndiyo watamuelekeza walipo
kwa uhalifu gani aliotenda??waanze na yule wa clouds tv
Harafu wakiwasaka watawashtaki Kwa kosa lipi. Je ? Tanzania tuna sheria ya makosa hayo